FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Sana tu.Dunia ya leo chanzo cha habari kinaweza kuwa ni Faiza Foxy
Hakuna longolongo, kuna ukondoo tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana tu.Dunia ya leo chanzo cha habari kinaweza kuwa ni Faiza Foxy
Inashangaza sanaWakurupukaji sana
Katiba Yao ilikuwa inasemaje?Nenda kasome vizuri aisee,si ndiyo maana amkamwachia Paul biya ambaye alikuwa waziri mkuu?
Chanzo changu cha habari hii ya uongo ni TBC wenyewe.Chanzo chako cha habari ni kipi?
Zidumu fikra za mwenyekiti ..Nchi hii mambo mengi tumedanganywa sana, ila uzuri wa uongo hujitenga na ukweli daima.
wanajua bado wapo zama za kale za maweMHESHIMIWA Léopold Sédar Senghor
Rais kwa kwanza wa Senegal
Alistaafu kwa hiari December 1980
MHESHIMIWA Ahmadou Babatoura Ahidjo
Rais wa kwanza wa Cameroon
Alistaafu kwa hiari November 1982
Ahmadou Ahidjo aliingizwa choo cha kike na rais wa sasa Bw. Paul Biya.Ahmadou ahidjo nafikiri ugonjwa ulimfanya astaafu mapema
Kuweka rekodi sawa ni kwamba, Mwl Nyerere alikuwa mwenyekiti wa ccm kwa miaka miwili tu ya utawala wa Mwinyi 1986/1987 na wala sio miaka mitano.Chanzo changu cha habari hii ya uongo ni TBC wenyewe.
Kwenye vipindi vyao vya kumbukizi ya kifo cha Nyerere. Wanampa sifa za uongo.
Wakampa na sifa za kututafutia warithi wake. Wakamhoji Jakaya Kikwete.
Kikwete akasema, wakati anatajwa tajwa kuwa mgombea, 1995, Julius Nyerere akamwita privately. Akamwambia NENDA KAMTAFUTE MKAPA, NIMETUMA UJUMBE HAJIBU, SIMPATI, MWAMBIE NAMTAKA YEYE AWE NEXT PRESIDENT!
Kikwete akakoma kuringa. Akaenda kumpa ujumbe Mkapa.
Sasa, we ushatoka madarakani. Umetawala miaka 24 plus 5 ya Mwinyi administration, maana wewe ni CCM Chairman na chama kimeshika hatamu, one party authoritarian state.
Unaondoka unataka bado utuchagulie favorite wako wewe, atakaeendeleza mambo yako wewe, wakati sisi tunabadili Rais kwa saab tunataka mabadiko, na sisi ni demokrasia ya kujichagulia wenyewe. Hiyo inakuwaje ni sifa nzuri ya kiongozi mstaafu ????????
Kesho watatuambia Rais Samia ndiye aliyeleta uhuru TanganyikaMHESHIMIWA Léopold Sédar Senghor
Rais kwa kwanza wa Senegal
Alistaafu kwa hiari December 1980
MHESHIMIWA Ahmadou Babatoura Ahidjo
Rais wa kwanza wa Cameroon
Alistaafu kwa hiari November 1982
Nimeacha kuangalia TBC kitamboMHESHIMIWA Léopold Sédar Senghor
Rais kwa kwanza wa Senegal
Alistaafu kwa hiari December 1980
MHESHIMIWA Ahmadou Babatoura Ahidjo
Rais wa kwanza wa Cameroon
Alistaafu kwa hiari November 1982
Mm naona hapo walikosea walikosea lugha tu. ilitakiwa waseme yeye ndio rais wa kwanza Tanzania kustaafu kwa hiali.
Sio mwenge wa uhuru kweli?Kuna uzi nilisoma humu jana kuwa "nyerere alitufanya misukule".
We mzalendo kweli mkuu, mpaka leo unaangalia hyo TBC!!?MHESHIMIWA Léopold Sédar Senghor
Rais kwa kwanza wa Senegal
Alistaafu kwa hiari December 1980
MHESHIMIWA Ahmadou Babatoura Ahidjo
Rais wa kwanza wa Cameroon
Alistaafu kwa hiari November 1982