TBC mmedanganya. Nyerere hakuwa wa kwanza Afrika kustaafu kwa hiari

espy

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2021
Posts
363
Reaction score
706
MHESHIMIWA Léopold Sédar Senghor
Rais kwa kwanza wa Senegal
Alistaafu kwa hiari December 1980


MHESHIMIWA Ahmadou Babatoura Ahidjo
Rais wa kwanza wa Cameroon
Alistaafu kwa hiari November 1982
 
Mimi naamini Nyerere hakustaafu kwa hiyari.
. Nchi ilishamshinda na kabanwa mbavu kila mahali.

Kilichomponza nyerere ni kucheza na Tiny Rowland.

Nyerere hakujuwa kuwa utajiri ukiwa mkubwa yanabaki mashindano ya nani zaidi.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…