TBC ni kiwanda cha fix.MHESHIMIWA Léopold Sédar Senghor
Rais kwa kwanza wa Senegal
Alistaafu kwa hiari December 1980
MHESHIMIWA Ahmadou Babatoura Ahidjo
Rais wa kwanza wa Cameroon
Alistaafu kwa hiari November 1982
Ule nijuwavyo ni ibada ya kishetani inayotumika na wakatoliki. Inaweza kuwa lengo ni hilohilo usemalo.Sio mwenge wa uhuru kweli?
Sina hakika kama ni la Kikatoliki may be you are right but the problem is, waliomshauri Nyerere kuhusu mwenge huo mbona walikua ma sheikh wa pale Bagamoyo? Anyway, tofauti ya Uislamu na Ukatoliki ni majina na lugha tuUle nijuwavyo ni ibada ya kishetani inayotumika na wakatoliki. Inaweza kuw lengi ni hilohilo usemalo.
Kama rais atatoka chama kile kile Cha aliyestahafu tegemea kuongozwa tu na waliotangulia hiyo ipo Africa nzima.Chanzo changu cha habari hii ya uongo ni TBC wenyewe.
Kwenye vipindi vyao vya kumbukizi ya kifo cha Nyerere. Wanampa sifa za uongo.
Wakampa na sifa za kututafutia warithi wake. Wakamhoji Jakaya Kikwete.
Kikwete akasema, wakati anatajwa tajwa kuwa mgombea, 1995, Julius Nyerere akamwita privately. Akamwambia NENDA KAMTAFUTE MKAPA, NIMETUMA UJUMBE HAJIBU, SIMPATI, MWAMBIE NAMTAKA YEYE AWE NEXT PRESIDENT!
Kikwete akakoma kuringa. Akaenda kumpa ujumbe Mkapa.
Sasa, we ushatoka madarakani. Umetawala miaka 24 plus 5 ya Mwinyi administration, maana wewe ni CCM Chairman na chama kimeshika hatamu, one party authoritarian state.
Unaondoka unataka bado utuchagulie favorite wako wewe, atakaeendeleza mambo yako wewe, wakati sisi tunabadili Rais kwa saab tunataka mabadiko, na sisi ni demokrasia ya kujichagulia wenyewe. Hiyo inakuwaje ni sifa nzuri ya kiongozi mstaafu ????????
Forojo Ganze mchawi mwanzisha mwenge na mashekh wenzake wa pwani ndiyo waasisi wa hiyo ibada ya kishetaniUle nijuwavyo ni ibada ya kishetani inayotumika na wakatoliki. Inaweza kuw lengi ni hilohilo usemalo.
Huyo siyo "Sheikh" atakayeamuru nyerere awafanyishe Watanzania ibada ya kishetani.Sina hakika kama ni la Kikatoliki may be you are right but the problem is, waliomshauri Nyerere kuhusu mwenge huo mbona walikua ma sheikh wa pale Bagamoyo? Anyway, tofauti ya Uislamu na Ukatoliki ni majina na lugha tu