macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Tanzania ya sasa hivi, mtu mwenye uwezo wa kuzungumza maneno mengi, na kwa kasi kama cherehani basi ni mtangazaji au chawa wa mama na anakuwa na mashabiki na kipato kizuri tu. Hivi ni mimi tu ninayeona kuwa wale ''watu wa Pwani'' wenye maneno mengi ndiyo wameibuka kuwa maarufu sana sasa hivi? Tatizo kunwa ni kuwa wananchi hatukufundishwa kutafakari bali kukariri. Huyo anatoa maelezo ya kukariri.Kazi za kupeana kisa una kadi ya chama.
Hiyo meli ya MV Mwanza itafikaje huko labda? Na wewe kumbe hazimo kichwaniKwani mombasani sio Kenya ?na Kuna bahari sio!?Malawi Kuna ziwa pale,hizo nyingine sijui mkuu fanya utafiti ujue kwanza kabla ya kukurupuka
...na ndo maana tunaambiwa akili za kuambiwa changanya na zako..!Mkuu usipokuwa na akili za kwako mwenyewe usilaumu mapungufu yako kwa wengine.
View attachment 2948406
Nimeshangazwa, kama si kusikitishwa niliposikia hii clip inayo trend mitandaoni.
Meli mpya ya MV Mwanza imeanza majaribio.
Mtangazaji wa TBC kadakia ,ati meli itafanya majaribio na kufika Kenya, Uganda, Burundi, Congo, Malawi na Sudan Kusini.
Nikajuta kuifanamu TBC, kumbe kuna mambumbumbu wengi
Tatizo haliko TBC tu bali lipo katika vyombo vyote vya habari (redio, TV, magazeti, etc). Juzi nilimsikia mtangazaji mmoja kwenye redio akitangaza kuwa mwezi wa tatu una siku 30 nikashangaa sana. Siku hizi watangazaji kusema uwongo limekuwa jambo la kawaida sana na hakuna mtu anayewachukulia hatua. TCRA wamewaacha waendelee kuudanganya umma bila kuwachukulia hatua zozote.View attachment 2948406
Nimeshangazwa, kama si kusikitishwa niliposikia hii clip inayo trend mitandaoni.
Meli mpya ya MV Mwanza imeanza majaribio.
Mtangazaji wa TBC kadakia ,ati meli itafanya majaribio na kufika Kenya, Uganda, Burundi, Congo, Malawi na Sudan Kusini.
Nikajuta kuifanamu TBC, kumbe kuna mambumbumbu wengi.
Mkuu na wewe usiwe mbumbumbu.niliposikia Zambia na Malawi nikajua hizi ni bangi za TBC na mtoa taarifa wa serikali, lakini nikawa sikumbuki vizuri zingine hasa Rwanda...sasa si kila msomaji wako anakumbuka kichwani Lake Victoria imepakana na nchi ngapi...
siku nyingine weka basi na ka ramani ili tujue kauli ile ya serikali kupitia TBC ni ya kituko kiasi gani....
Mkuki Moyoni!Hiyo ndo hali halisi ya watumishi wa umma walivyo! Hili udumu katika ajira serikalini lazima huwe mchawi uroge wenye akili wakimbie ubakie wewe! Ofisi nyingi za serikali watumishi wake ni mbumbumbu!
Naona mtangazaji mwenyewe kaamua kuja kujitetea humuKwani mombasani sio Kenya ?na Kuna bahari sio!?Malawi Kuna ziwa pale,hizo nyingine sijui mkuu fanya utafiti ujue kwanza kabla ya kukurupuka
Mkuu na wewe usiwe mbumbumbu.
Ramani ya nchi hii ni somo la darasa la pili.
Ramani ya Afrika somo la darasa la nne.
Kwamba unaweza "kusahau" ramani hizo ndio maana halisi ya umbumbumbu.
Mkuu now you've gone too generalHiyo ndo hali halisi ya watumishi wa umma walivyo! Hili udumu katika ajira serikalini lazima huwe mchawi uroge wenye akili wakimbie ubakie wewe! Ofisi nyingi za serikali watumishi wake ni mbumbumbu!
Sasa wewe mkuu unabisha nini si uweke ramani mezani ili ueleweke?Mtu akisoma taarifa hii, kama ana akili, lazima aangalie ramani kujua jee, kupitia ziwani kunaweza kumrahisishia msafiri japo kipande cha safari kwenda kwa mfano Rwanda kutokea Mwanza ? Hapo ndio utajua ni kwa kiasi gani kauli ya serikali imekosewa na labda walinuia kusema nini.
Lakini wewe upeo wako mfupi unajiuliza ziwa limegusa nchi ngapi, basi. Na unabisha kwamba si kila mtu anakumbuka kila kitu, weka ramani kusaidia kusukuma hoja yako, huelewi. Lakini baya zaidi ni kwamba we mwenyewe wala hujijui kwamba una ubongo saizi ya njegele.
Sitaki kukuita mjinga maana unacho argue hapa hakina uhusiano wowote na serikali.Mtu akisoma taarifa hii, kama ana akili, lazima aangalie ramani kujua jee, kupitia ziwani kunaweza kumrahisishia msafiri japo kipande cha safari kwenda kwa mfano Rwanda kutokea Mwanza ? Hapo ndio utajua ni kwa kiasi gani kauli ya serikali imekosewa na labda walinuia kusema nini.
Lakini wewe upeo wako mfupi unajiuliza ziwa limegusa nchi ngapi, basi. Na unabisha kwamba si kila mtu anakumbuka kila kitu, weka ramani kusaidia kusukuma hoja yako, huelewi. Lakini baya zaidi ni kwamba we mwenyewe wala hujijui kwamba una ubongo saizi ya njegele.
Kama Ndumbaro na Yanga ha Simba?....alikuwa anatania tu.....
Pengine meli za TBCMmekaa zenu chako ni chako pub msamvu mnashangaa meli inapita kuelekea zambia