TBC, mnaajiri mambumbumbu?

TBC, mnaajiri mambumbumbu?

Kazi za kupeana kisa una kadi ya chama.
Tanzania ya sasa hivi, mtu mwenye uwezo wa kuzungumza maneno mengi, na kwa kasi kama cherehani basi ni mtangazaji au chawa wa mama na anakuwa na mashabiki na kipato kizuri tu. Hivi ni mimi tu ninayeona kuwa wale ''watu wa Pwani'' wenye maneno mengi ndiyo wameibuka kuwa maarufu sana sasa hivi? Tatizo kunwa ni kuwa wananchi hatukufundishwa kutafakari bali kukariri. Huyo anatoa maelezo ya kukariri.
 
Mkuu sio Tbc tu saizi ni kama kuna tatizo la watangazaji nchi nzima kutokujua vitu vya kawaida ndo maana channels mbalimbali wameamua kuwekeza kwenye vipindi vya michezo, burudani na matangazo ya biashara.
 
Mama ashukuriwe tuu kama hii ndo media ya serikali na taifa kwa ujumla
 
View attachment 2948406
Nimeshangazwa, kama si kusikitishwa niliposikia hii clip inayo trend mitandaoni.
Meli mpya ya MV Mwanza imeanza majaribio.
Mtangazaji wa TBC kadakia ,ati meli itafanya majaribio na kufika Kenya, Uganda, Burundi, Congo, Malawi na Sudan Kusini.

Nikajuta kuifanamu TBC, kumbe kuna mambumbumbu wengi

niliposikia Zambia na Malawi nikajua hizi ni bangi za TBC na mtoa taarifa wa serikali, lakini nikawa sina hakika na zingine hasa Rwanda...sasa si kila msomaji wako anakumbuka kichwani Lake Victoria imepakana na nchi ngapi...

siku nyingine weka basi na ka ramani ili tujue kauli ile ya serikali kupitia TBC ni ya kituko kiasi gani....
 
View attachment 2948406
Nimeshangazwa, kama si kusikitishwa niliposikia hii clip inayo trend mitandaoni.
Meli mpya ya MV Mwanza imeanza majaribio.
Mtangazaji wa TBC kadakia ,ati meli itafanya majaribio na kufika Kenya, Uganda, Burundi, Congo, Malawi na Sudan Kusini.

Nikajuta kuifanamu TBC, kumbe kuna mambumbumbu wengi.
Tatizo haliko TBC tu bali lipo katika vyombo vyote vya habari (redio, TV, magazeti, etc). Juzi nilimsikia mtangazaji mmoja kwenye redio akitangaza kuwa mwezi wa tatu una siku 30 nikashangaa sana. Siku hizi watangazaji kusema uwongo limekuwa jambo la kawaida sana na hakuna mtu anayewachukulia hatua. TCRA wamewaacha waendelee kuudanganya umma bila kuwachukulia hatua zozote.
 
niliposikia Zambia na Malawi nikajua hizi ni bangi za TBC na mtoa taarifa wa serikali, lakini nikawa sikumbuki vizuri zingine hasa Rwanda...sasa si kila msomaji wako anakumbuka kichwani Lake Victoria imepakana na nchi ngapi...

siku nyingine weka basi na ka ramani ili tujue kauli ile ya serikali kupitia TBC ni ya kituko kiasi gani....
Mkuu na wewe usiwe mbumbumbu.
Ramani ya nchi hii ni somo la darasa la pili.
Ramani ya Afrika somo la darasa la nne.

Kwamba unaweza "kusahau" ramani hizo ndio maana halisi ya umbumbumbu.
 
Jamaa taarifa wanazipokea na kuziachia kama zilivyo.. meli za kisasa kama Drone au ni Ile wanaziita hovercraft zinapita nchi kavu
Screenshot_20240330-115454_Chrome.jpg
 
Mkuu na wewe usiwe mbumbumbu.
Ramani ya nchi hii ni somo la darasa la pili.
Ramani ya Afrika somo la darasa la nne.

Kwamba unaweza "kusahau" ramani hizo ndio maana halisi ya umbumbumbu.

Mtu akisoma taarifa hii, kama ana akili, lazima aangalie ramani kujua jee, kupitia ziwani kunaweza kumrahisishia msafiri japo kipande cha safari kwenda kwa mfano Rwanda kutokea Mwanza ? Hapo ndio utajua ni kwa kiasi gani kauli ya serikali imekosewa na labda walinuia kusema nini.

Lakini wewe upeo wako mfupi unajiuliza ziwa limegusa nchi ngapi, basi. Na unabisha kwamba si kila mtu anakumbuka kila kitu, weka ramani kusaidia kusukuma hoja yako, huelewi. Lakini baya zaidi ni kwamba we mwenyewe wala hujijui kwamba una ubongo saizi ya njegele.
 
Hiyo ndo hali halisi ya watumishi wa umma walivyo! Hili udumu katika ajira serikalini lazima huwe mchawi uroge wenye akili wakimbie ubakie wewe! Ofisi nyingi za serikali watumishi wake ni mbumbumbu!
Mkuu now you've gone too general
 
Mtu akisoma taarifa hii, kama ana akili, lazima aangalie ramani kujua jee, kupitia ziwani kunaweza kumrahisishia msafiri japo kipande cha safari kwenda kwa mfano Rwanda kutokea Mwanza ? Hapo ndio utajua ni kwa kiasi gani kauli ya serikali imekosewa na labda walinuia kusema nini.

Lakini wewe upeo wako mfupi unajiuliza ziwa limegusa nchi ngapi, basi. Na unabisha kwamba si kila mtu anakumbuka kila kitu, weka ramani kusaidia kusukuma hoja yako, huelewi. Lakini baya zaidi ni kwamba we mwenyewe wala hujijui kwamba una ubongo saizi ya njegele.
Sasa wewe mkuu unabisha nini si uweke ramani mezani ili ueleweke?
 
Mtu akisoma taarifa hii, kama ana akili, lazima aangalie ramani kujua jee, kupitia ziwani kunaweza kumrahisishia msafiri japo kipande cha safari kwenda kwa mfano Rwanda kutokea Mwanza ? Hapo ndio utajua ni kwa kiasi gani kauli ya serikali imekosewa na labda walinuia kusema nini.

Lakini wewe upeo wako mfupi unajiuliza ziwa limegusa nchi ngapi, basi. Na unabisha kwamba si kila mtu anakumbuka kila kitu, weka ramani kusaidia kusukuma hoja yako, huelewi. Lakini baya zaidi ni kwamba we mwenyewe wala hujijui kwamba una ubongo saizi ya njegele.
Sitaki kukuita mjinga maana unacho argue hapa hakina uhusiano wowote na serikali.
Hapa ni mtangazaji wa TBC asiye na akili na wewe unaelekea huko.
Ramani ya Tanzania ni somo la darasa la pili, kama na wewe huwezi kulitambua hilo umbumbumbu unakuhusu.
 
Wenye elimu hawana connection hizo,wale mazuzu wanawekwa tu kwenye ofisi za umma...... Bongo kuendelea ngumu acha aendelee kutwambia Meli itaenda hadi Zambia ambayo ni Land lokdi Kantri
 
Back
Top Bottom