macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Tanzania ya sasa hivi, mtu mwenye uwezo wa kuzungumza maneno mengi, na kwa kasi kama cherehani basi ni mtangazaji au chawa wa mama na anakuwa na mashabiki na kipato kizuri tu. Hivi ni mimi tu ninayeona kuwa wale ''watu wa Pwani'' wenye maneno mengi ndiyo wameibuka kuwa maarufu sana sasa hivi? Tatizo kunwa ni kuwa wananchi hatukufundishwa kutafakari bali kukariri. Huyo anatoa maelezo ya kukariri.Kazi za kupeana kisa una kadi ya chama.