TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

basi ile kipindi cha asubuhi cha kuhojiana anaeulizwa kasinzia na mtangazaji kasinzia yaani wameechoka sijui huwa wanaendaga kupiga pushup ndio wanakuja kutangaza
 

na wewe nae clouds ndio ovyooo bora hata TBC miziki saa zote kusoma magazeti 360 wanaongea sana mpaka wana boa
 
mimi tbc naipenda kwa sababu ya hotuba ya rais huwa nazipenda sana sana kuna kucheka kuna kuona ukweli hapo kwa hapo amaizing ni raha san
 
leo tarehe 8-10-2019 wamemhujumu Ayubu Ryoba, yaani wamenunua makamera feki, raisi anaonekana kama mkaa, ila ukiangalia ITV ipo HD, naamini hata watu wa ikulu wanafuatlia kupitia ITV alafu kuna mtu anajiita dokta yupo tu ofisini, sijui Ryoba, si bora wamrudishe yule waliyempleleka ikulu?

magufuli akiangalia hakiyanani anamtumbua DG usiku wa manane.
HAKUNA MPIGA PICHA WA KUMLAUMU MAANA MAKAMERA YA KIZAMANI, TENDA INATOKA KINDUGU NA wanamhujumu, rais, hasa DG.
 
Inauma sana..
 
...taratibu Bro. Tujitahidi kufichiana siri Za Taifa. Aibu yetu aibu yako!
 
Inauma sana..
Ndio maana Hata Bashite, na hata Magufuli mwenyewe huwa wanaangalia ITV na Clouds,hata press za Makonda huwa anapendelea ITV.
Nchi nyingine wananchi wangeandamana kushinikiza DG wa TBC atoke mana TBC ni chombo cha wanyonge wasioweza kulipia dstv.
 
Wanarusha sijui kwa internet ya simu? tena tecno, yaani ukimuangalia mh Magufuli halali alafu mijitu ipo kwenye AC na kutembelea ma VX na hayafanyi kitu, inauma sana,
 
Teknologia isiwaache, endesheni vipindi kwa teknologia ya karine hii na vipindi viendane na karine hii bila kutoka kweny maadili mema!!
 
Ushauri mzuri kwa wachangiaji
Na anaekisimamia chombo huko nguli kwenye tasnia ya Habari nchini kwetu na tbc ni chombo cha Habari cha watanzania
 
Ushauri mzuri kwa wachangiaji
Na anaekisimamia chombo huko nguli kwenye tasnia ya Habari nchini kwetu na tbc ni chombo cha Habari cha watanzania
 
watajirekebisha, nahisi MAGUFULI KAAMUA KUMFUNGIA MACHO MKUU WAO PALE KAMA ALIVYOFANYA KWA DAUDI ALBERT BASHITE
 
Anaingalia sana na sifa anawamwagia kila mara uingalii utajuje kama anaangalia TBC oyeee!!!
 
Kila nikifungua TBC either kuna live covarage au kina kipindi maalumu ya Kusifia. Je vipindi vingine vimefutwa? Ili nihame kabisa hata niwe naangali UTV.
 
Kila nikifungua TBC either kuna live covarage au kina kipindi maalumu ya Kusifia. Je vipindi vingine vimefutwa? Ili nihame kabisa hata niwe naangali UTV.
TV ya Taifa hiyo inapaswa kuonesha vitu vya kitaifa na maendeleo huku ikitunza utamaduni wa kitanzania.

Hakika wanafanya kazi nzuri sana kuwaelimisha watanzania na kuonesha maendeleo wanayoletewa na serikali yao

Pongezi kwenu TBC1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…