TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

Msomi wa PhD anashindwa na mtoto wa Tandale kwa ubunifu.
shida sio ubunifu shida ni NCHI haina bajeti ya MEDIA zake

haya una ubunifu unautumiaje huo ubunifu wako kama Hupewi FUNGU (pesa)

Tena awamu hiii mpk fedha upewe ufanyie kitu cheque iwe na saini 20

Muda wakufatilia hayo yote wanini? acha mkurugenzi adeal na watu wanaochelewa kazini

na waomba ruhusa
 
Hii channel ya TBC haina uhuru, wanaonyesha vitu ovyo sana. hawana hata kipindi ambacho mtu mwenye akili anaweza akawahi nyumbani kukiangalia
 
Dr Ryoba kachemsha sana. Hawa kipindi wapo nje ya mfumo walikuwa wanakosoa sana kama kawaida ya mtanzania. Kawekwa huko ndio hamna kitu kabisa. Billion mbili sijui alizifanyia nini zile.

Tuwe wakweli, ungekuwa wewe angefanyaje kujifanya TBC ishindane na private stations? Mwenye mamlaka ambaye ni Jiwe anataka iwe hivyo ilivyo imsifie yeye asubuhi mpaka jioni.

Pengine utaniambia kwa vile Ayub Ryoba ana msimamo wake basi angechagua au kufanya kazi 'professionally' au kukataa uteuzi. Kumbuka ukikataa uteuzi wa huyu Jiwe atakuona una hela unazopewa na mabeberu. Kinachofuata ni DPP anakufungulia mashtaka ya kutakatisha fedha.

There is nothing Dr Ayuob Ryoba can do given this type of presidency.
 
TBC wanajitahidi kidogo kwenye matangazo ya live ya mpira! Dr. Lyoba sijui amekuwaje tangu ajiunge T.B.C! Ubunifu 0
 
Dr Ryoba kachemsha sana. Hawa kipindi wapo nje ya mfumo walikuwa wanakosoa sana kama kawaida ya mtanzania. Kawekwa huko ndio hamna kitu kabisa. Billion mbili sijui alizifanyia nini zile.

Katumia ziara za ulaya[SWEDEN NA USA], sijui anakwendaga eti anaimarisha utalii, kala zile hela na cCHACHE ZILIZOBAKI anatumia kwa SAFARI CHANNEL ambapo anafanya matumizi ya kufuru ikiwa ni pamoja na kununua cstomized land cruiser mkonge ya kupia picha huko mbugani, yaani siku CAG akikagua , tutataftana.

Ewe baba, mama na kijana kama una mke, mtoto wako wa kike, anakwenda pale intern na ni mzuri , walau ana kalio lililobinuka na hamisa LAZMA JAMAA AMTAFUNE , kumbuka DR HAJAOA MPAKA LEO
 
shida sio ubunifu shida ni NCHI haina bajeti ya MEDIA zake

haya una ubunifu unautumiaje huo ubunifu wako kama Hupewi FUNGU (pesa)

Tena awamu hiii mpk fedha upewe ufanyie kitu cheque iwe na saini 20

Muda wakufatilia hayo yote wanini? acha mkurugenzi adeal na watu wanaochelewa kazini

na waomba ruhusa
Kumbuka Kauli ya Mh. Mwakyembe kuwa TBC itakuwa Kama BBC au CNN kwa ubora
 
Quality ya TBC imeshuka sana bora ilivokua enzi za TVT au enzi za Tido. Wamepitwa na wasafi TV au Tv E na hata ile
Ya Joe Dervie
Ambayo ina ubora wa HD.
 
Huyu mkurugenzi wa TBC kwakweli amefeli sana kuiboresha iyo televisheni.

Yaani kuna muda unasikia sauti tu picha uhoni kabisa,, acha mambo mengine mengi ya ovyoovyo,, yaan hata WASAFI TV ina ubora kuliko TBC
Nikajua ni tv yangu tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wamezaliwa kula kodi za nchi bwana[emoji39][emoji39][emoji39]
 
Tuwe wakweli, ungekuwa wewe angefanyaje kujifanya TBC ishindane na private stations? Mwenye mamlaka ambaye ni Jiwe anataka iwe hivyo ilivyo imsifie yeye asubuhi mpaka jioni.

Pengine utaniambia kwa vile Ayub Ryoba ana msimamo wake basi angechagua au kufanya kazi 'professionally' au kukataa uteuzi. Kumbuka ukikataa uteuzi wa huyu Jiwe atakuona una hela unazopewa na mabeberu. Kinachofuata ni DPP anakufungulia mashtaka ya kutakatisha fedha.

There is nothing Dr Ayuob Ryoba can do given this type of presidency.
uenda pia ilo linachangia
 
Of all the people,sikutegemea Dr Rioba angefeli maana he was so good at critics toward the GVT, aliwahi kuwa lectirer wangu chuo kikuu, sijui amepatwa na nini, amefeli kuliko hata polepole
Huyu mkurugenzi wa TBC kwakweli amefeli sana kuiboresha iyo televisheni.

Yaani kuna muda unasikia sauti tu picha uhoni kabisa,, acha mambo mengine mengi ya ovyoovyo,, yaan hata WASAFI TV ina ubora kuliko TBC
 
Huyu Rioba aliwahi kuwa le turer wangu chuo, alikua anatembea na wanafunzi na wote aliotembea nao amewaajiri pele tbc na ni watangazaji
Mkurugenzi ni "mungu" mtu.
Huyu Jamaa amefeli tangu awali, TBC imemfia mkononi.
Jiwe akipona toka kwenye kilichompata huko kusini kwa kina NAPPE atakuwa kashika adabu, kule kanda ya SUMBAWANGA NA KATAVI alikuwa anatembea kwenye ziara yake na MA-GAMBOSHI "WAchawi na waganga" ambao walikuwa wanazuia asifanyiwe , ila SHIKAMOO MKURUGENZI TOKA MAREKANI ,JIWE ALISEMA UMETOKA MAREKANI KUFANYA UPUUZZI UKAMUONYESHA WEWE SI WA MCHEZO MCHEZO.

BACK TO TBC:
AYOUB RYOBA ambaye infact anasadikika ametumia cheo chake kutumia watoto wa internship kimapenzi, na hata watangazaji wengi, siwataji majina kulinda ndoa zao, amekuwa akikalia proposal toka kitengo cha manunuzi na kitengo cha HABARI.
Hakuna uwazi katika mali za TBC na inaonekana kuna MAGAZI YA SERIKALI YANA NAMBA MBILI MBILI, MFANO ILE VX nayotumia ina STL NA PIA INA NAMBA BINAFSI HUWA ANAWEKA AKITAKA KUTUMIA KWA MAMBO YAKE , HASA KWENYE MAHOTELI NA WATOTO WADOGO.

Pale TBC amepaki BMW , haijulikani ni ya nani maana ina namba za serikali na wakati mwengine binafs.

KUNARANGE ROVER OLD MODEL, the same.
TAKUKURU, TISS wamelala tu, sijui nguvu gani inatumiwa na huyu bwana, uchunguzi ufanyike, RC MAKONDA kama ulivamia clouds unashindwaje kuvamia TBC na kukagua?
MAKONDA kumbuka sasa kiki zako zimeisha, kilichobaki kwako ni sehemu kama TBC ukawanyooshe na utapata kiki.
Just a day utarudi kwenye kiki zako za kijinga,
 
Yeah ni hajaoa ni baharia mzoefu

Back
Top Bottom