TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

Habarini.
Kwa nini ajitathmini?

Nasema ajitathmini kwa kuwa ameshindwa kutuonesha mechi za timu yetu ya Taifa. Hali hii hadi lini?

Ndo maana nasema huyu CEO wa TBC ajiangalie mara mbili mbili ktk utendaji wake.

Mfano Leo timu ya taifa inacheza na Sudan lakini tunashindwa kuangalia tukiwa home na hizi mvua hata kutoka tunaogopa.
 
Mkurugenzi aliyewahi kuiongoza na kuismamia TBC 1, TBC Taifa na TBC 2 ni Tido Mhando tu. Hao wengine ni vibaraka tu wa serikali ya ccm. Hivyo ukiwalaumu, utakua unawaonea tu. Wapo kwa ajili ya kulinda mkate wao.
 
TBC WAO NA HOTUBA ZA MKUU TU KUMFURAHISHA MKUU HAJUI KAMA RAIA WENGI HAWAPENDEZWI NA WANAYOYAFANYA TBC TAIFA INASHINDWA KUONYESHA TIMU YA TAIFA? KAMA SI KUJIPENDEKEZA KWA MKUU BASI NINI WATUMISHI WENGI WANAFANYA MAMBO ILI WAONEKANE KWA MKUU NDUGU RYOBA ACHA UOGA WEWE MSOMI UKIFUKUZWA TBC VIPO VITUO VINGI UTAPATA KAZI USIWE MTUMWA WA KAZI JIAMINI
 
Habarini.
Kwa nini ajitathmini?

Nasema ajitathmini kwa kuwa ameshindwa kutuonesha mechi za timu yetu ya Taifa. Hali hii hadi lini?

Ndo maana nasema huyu CEO wa TBC ajiangalie mara mbili mbili ktk utendaji wake.

Mfano Leo timu ya taifa inacheza na Sudan lakini tunashindwa kuangalia tukiwa home na hizi mvua hata kutoka tunaogopa.
Mpira sio kipau mbele cha TBC
 
Ukitaka ujue utamu wa TBC subiri pilika za uchaguzi zianze, ni nyimbo za chama tu kuanzia asubuhi mpaka usiku.
 
Hii Ndo hasara ya kuajiri wazee badala ya vijana. Eti kisa wana PHD na Masters huku wenye talent na ubunifu wakichaniwa CV zao getini.
 
Bora uangalie TBS kuliko kuangalia TBC
Huyu mkurugenzi wa TBC kwakweli
Amefeli sana kuiboresha iyo televisheni,, yaan kuna muda unasikia sauti tu picha uhoni kabisa,, acha mambo mengine mengi ya ovyoovyo,, yaan hata WASAFI TV ina ubora kuliko TBC
 
Dr Ryoba kachemsha sana. Hawa kipindi wapo nje ya mfumo walikuwa wanakosoa sana kama kawaida ya mtanzania. Kawekwa huko ndio hamna kitu kabisa. Billion mbili sijui alizifanyia nini zile.
 
Huyu mkurugenzi wa TBC kwakweli
Amefeli sana kuiboresha iyo televisheni,, yaan kuna muda unasikia sauti tu picha uhoni kabisa,, acha mambo mengine mengi ya ovyoovyo,, yaan hata WASAFI TV ina ubora kuliko TBC

Mkurugenzi ni "mungu" mtu.
Huyu Jamaa amefeli tangu awali, TBC imemfia mkononi.
Jiwe akipona toka kwenye kilichompata huko kusini kwa kina NAPPE atakuwa kashika adabu, kule kanda ya SUMBAWANGA NA KATAVI alikuwa anatembea kwenye ziara yake na MA-GAMBOSHI "WAchawi na waganga" ambao walikuwa wanazuia asifanyiwe , ila SHIKAMOO MKURUGENZI TOKA MAREKANI ,JIWE ALISEMA UMETOKA MAREKANI KUFANYA UPUUZZI UKAMUONYESHA WEWE SI WA MCHEZO MCHEZO.

BACK TO TBC:
AYOUB RYOBA ambaye infact anasadikika ametumia cheo chake kutumia watoto wa internship kimapenzi, na hata watangazaji wengi, siwataji majina kulinda ndoa zao, amekuwa akikalia proposal toka kitengo cha manunuzi na kitengo cha HABARI.
Hakuna uwazi katika mali za TBC na inaonekana kuna MAGAZI YA SERIKALI YANA NAMBA MBILI MBILI, MFANO ILE VX nayotumia ina STL NA PIA INA NAMBA BINAFSI HUWA ANAWEKA AKITAKA KUTUMIA KWA MAMBO YAKE , HASA KWENYE MAHOTELI NA WATOTO WADOGO.

Pale TBC amepaki BMW , haijulikani ni ya nani maana ina namba za serikali na wakati mwengine binafs.

KUNARANGE ROVER OLD MODEL, the same.
TAKUKURU, TISS wamelala tu, sijui nguvu gani inatumiwa na huyu bwana, uchunguzi ufanyike, RC MAKONDA kama ulivamia clouds unashindwaje kuvamia TBC na kukagua?
MAKONDA kumbuka sasa kiki zako zimeisha, kilichobaki kwako ni sehemu kama TBC ukawanyooshe na utapata kiki.
Just a day utarudi kwenye kiki zako za kijinga,
 
Back
Top Bottom