shida sio ubunifu shida ni NCHI haina bajeti ya MEDIA zakeMsomi wa PhD anashindwa na mtoto wa Tandale kwa ubunifu.
Dr Ryoba kachemsha sana. Hawa kipindi wapo nje ya mfumo walikuwa wanakosoa sana kama kawaida ya mtanzania. Kawekwa huko ndio hamna kitu kabisa. Billion mbili sijui alizifanyia nini zile.
Tuwe wakweli, ungekuwa wewe angefanyaje kujifanya TBC ishindane na private stations? Mwenye mamlaka ambaye ni Jiwe anataka iwe hivyo ilivyo imsifie yeye asubuhi mpaka jioni.Dr Ryoba kachemsha sana. Hawa kipindi wapo nje ya mfumo walikuwa wanakosoa sana kama kawaida ya mtanzania. Kawekwa huko ndio hamna kitu kabisa. Billion mbili sijui alizifanyia nini zile.
Dr Ryoba kachemsha sana. Hawa kipindi wapo nje ya mfumo walikuwa wanakosoa sana kama kawaida ya mtanzania. Kawekwa huko ndio hamna kitu kabisa. Billion mbili sijui alizifanyia nini zile.
Kumbuka Kauli ya Mh. Mwakyembe kuwa TBC itakuwa Kama BBC au CNN kwa uborashida sio ubunifu shida ni NCHI haina bajeti ya MEDIA zake
haya una ubunifu unautumiaje huo ubunifu wako kama Hupewi FUNGU (pesa)
Tena awamu hiii mpk fedha upewe ufanyie kitu cheque iwe na saini 20
Muda wakufatilia hayo yote wanini? acha mkurugenzi adeal na watu wanaochelewa kazini
na waomba ruhusa
anaongea tu yule alifikiri BBC na CNN zimetokea tokea tu mpk kufikia pale?Kumbuka Kauli ya Mh. Mwakyembe kuwa TBC itakuwa Kama BBC au CNN kwa ubora
maajabuMsomi wa PhD anashindwa na mtoto wa Tandale kwa ubunifu.
Nikajua ni tv yangu tuHuyu mkurugenzi wa TBC kwakweli amefeli sana kuiboresha iyo televisheni.
Yaani kuna muda unasikia sauti tu picha uhoni kabisa,, acha mambo mengine mengi ya ovyoovyo,, yaan hata WASAFI TV ina ubora kuliko TBC
uenda pia ilo linachangiaTuwe wakweli, ungekuwa wewe angefanyaje kujifanya TBC ishindane na private stations? Mwenye mamlaka ambaye ni Jiwe anataka iwe hivyo ilivyo imsifie yeye asubuhi mpaka jioni.
Pengine utaniambia kwa vile Ayub Ryoba ana msimamo wake basi angechagua au kufanya kazi 'professionally' au kukataa uteuzi. Kumbuka ukikataa uteuzi wa huyu Jiwe atakuona una hela unazopewa na mabeberu. Kinachofuata ni DPP anakufungulia mashtaka ya kutakatisha fedha.
There is nothing Dr Ayuob Ryoba can do given this type of presidency.
Huyu mkurugenzi wa TBC kwakweli amefeli sana kuiboresha iyo televisheni.
Yaani kuna muda unasikia sauti tu picha uhoni kabisa,, acha mambo mengine mengi ya ovyoovyo,, yaan hata WASAFI TV ina ubora kuliko TBC
Mkurugenzi ni "mungu" mtu.
Huyu Jamaa amefeli tangu awali, TBC imemfia mkononi.
Jiwe akipona toka kwenye kilichompata huko kusini kwa kina NAPPE atakuwa kashika adabu, kule kanda ya SUMBAWANGA NA KATAVI alikuwa anatembea kwenye ziara yake na MA-GAMBOSHI "WAchawi na waganga" ambao walikuwa wanazuia asifanyiwe , ila SHIKAMOO MKURUGENZI TOKA MAREKANI ,JIWE ALISEMA UMETOKA MAREKANI KUFANYA UPUUZZI UKAMUONYESHA WEWE SI WA MCHEZO MCHEZO.
BACK TO TBC:
AYOUB RYOBA ambaye infact anasadikika ametumia cheo chake kutumia watoto wa internship kimapenzi, na hata watangazaji wengi, siwataji majina kulinda ndoa zao, amekuwa akikalia proposal toka kitengo cha manunuzi na kitengo cha HABARI.
Hakuna uwazi katika mali za TBC na inaonekana kuna MAGAZI YA SERIKALI YANA NAMBA MBILI MBILI, MFANO ILE VX nayotumia ina STL NA PIA INA NAMBA BINAFSI HUWA ANAWEKA AKITAKA KUTUMIA KWA MAMBO YAKE , HASA KWENYE MAHOTELI NA WATOTO WADOGO.
Pale TBC amepaki BMW , haijulikani ni ya nani maana ina namba za serikali na wakati mwengine binafs.
KUNARANGE ROVER OLD MODEL, the same.
TAKUKURU, TISS wamelala tu, sijui nguvu gani inatumiwa na huyu bwana, uchunguzi ufanyike, RC MAKONDA kama ulivamia clouds unashindwaje kuvamia TBC na kukagua?
MAKONDA kumbuka sasa kiki zako zimeisha, kilichobaki kwako ni sehemu kama TBC ukawanyooshe na utapata kiki.
Just a day utarudi kwenye kiki zako za kijinga,
Da we dada bana,mi dume nimekuwa shogaako tenayaan television ya ovyo kweli, sio wewe tu shoga angu
Katumia ziara za ulaya[SWEDEN NA USA], sijui anakwendaga eti anaimarisha utalii, kala zile hela na cCHACHE ZILIZOBAKI anatumia kwa SAFARI CHANNEL ambapo anafanya matumizi ya kufuru ikiwa ni pamoja na kununua cstomized land cruiser mkonge ya kupia picha huko mbugani, yaani siku CAG akikagua , tutataftana.
Ewe baba, mama na kijana kama una mke, mtoto wako wa kike, anakwenda pale intern na ni mzuri , walau ana kalio lililobinuka na hamisa LAZMA JAMAA AMTAFUNE , kumbuka DR HAJAOA MPAKA LEO
sorry myDa we dada bana,mi dume nimekuwa shogaako tena