varangati
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,726
- 1,628
Yani TBC hapo msiboreshe mitambo ...fungeni kwanza kituo mkajipange ...mtangazaji anatangaza utadhan yupo mateka....alaf sishangai kuonesha mikitano live...nashangaa kuirudiarudia kila Mara cjui mmekosa vipindi.....jiwe akifanya katukio kamoja katikati ya wiki basi nyie mtakesha na hako katukio mwezi mzima ...ziara cjui Mara kutumbua...ahh mnakera aise yani masuara mengine hamna kabisa...cjui mmefumba macho...sasa quality ya video ndo kabisaaaaaaa......ushauri wangu ndo huo ...fungeni kwanza... Mi kipaji cha utangazaji nnacho mkisha kaa sawa nitafuteni