TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

Yani TBC hapo msiboreshe mitambo ...fungeni kwanza kituo mkajipange ...mtangazaji anatangaza utadhan yupo mateka....alaf sishangai kuonesha mikitano live...nashangaa kuirudiarudia kila Mara cjui mmekosa vipindi.....jiwe akifanya katukio kamoja katikati ya wiki basi nyie mtakesha na hako katukio mwezi mzima ...ziara cjui Mara kutumbua...ahh mnakera aise yani masuara mengine hamna kabisa...cjui mmefumba macho...sasa quality ya video ndo kabisaaaaaaa......ushauri wangu ndo huo ...fungeni kwanza... Mi kipaji cha utangazaji nnacho mkisha kaa sawa nitafuteni
 
BORA HATA MSITU UNGEKUWA MPYA, YAANI MSITU NI ULE ULE NA NYANI NI WALE WALE WAMEJIFUNIKA USO KWA VIGANJA VYA MIKONO YAO N KUJIDAI ETI NI NYANI WAGENI
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wasipochukua maoni ya wadau hapa na kuyafanyia kazi haraka, kweli watakuwa ni sikio la kufa.....!
 
Hizo ni international versions za hizo tv. Bbc wana bbc kadhaa nafikiri ipo inayoonyeshaga lotteries za kule kwao. Kuna mdau kawashauri wawe na tbc1, 2, 3 kwa audience tofauti.
Mkuu sasa huoni kama huo uchafu let's say tb1 utakaokuwa unaonyesha mbwembwe za watawala utakosa watazamaji kama ilivyo sasa?
 
Kuangalia TBC ni umama uliotukuka.....wachumia tumbo kibao watangzaji nao usiseme yahn tangu watangzaji wapewe mashavu kama wakina msigwa na wengineo bhs mwendo wa kujipendekeza t kwa mkuu wakiaamini atawakumbka wakiongozwa na mzee wa kung'ata na kupuliza bwana paskuli manyala....dam it!!!!
 
Kumbe wafuatiliaji wazuri sasa kipi wamekirekebisha? Kwangu Mimi kila chombo Cha Taifa kinachoegemea upande mmoja bila kujali wadau walio wengi ambao ni wananchi nakitoa thamani, tumelalamika sana humu na wahusika wamo humu hakuna mabadiliko Sasa wanataka nini tena. Tutaendelea kuangalia futuhi wao waendeleeni na vipindi vyao.
 
TBC lishakua tawi la chama CCM hivulyo ongezeni makala za kusifi chama Chereko na bongo za kutosha!
 
Nimepitia maoni. Nasikitika kwamba bado wengi mmejikita kwenye kulalamika zaidi badala ya kupendekeza angalau program ideas ili kulimaliza tatizo.

Nyuzi za malalamiko zipo nyingi sana na tayari yanafahamika. So nasisitiza tujielekeze zaidi kwenye mapendekezo kuhusu kinachotakiwa kufanywa huku tukitoa ideas ambazo zinaweza kufanyiwa kazi.

TBC ni mali yetu sote. Ni lazima tutoe mawazo yanayojenga ili ifanikiwe.

Naelewa tuko disappointed kwa sababu ya itikadi zetu na jinsi tunavyohisi hakuna fairness, lakini tuweke grudges pembeni na tuelekeze njia sahihi ya kupita.

Tusilalamike tu ili kuponya nafsi zetu. Tutoe constructive ideas ili kuiponya TBC yetu.
 
Kama malalamiko tayari yao na yanajulikana unataka nn tena hapa? Si uyafanyie ka, i hayo malalamiko? Kweli CCM wana akili za kuzimu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…