TBC ni TV ya waislam na wakristo wakatoliki?

Ilipaswa wasirushe kabisa. Kazi ya kutangaza dini ziachiwe taasisi husika
 
Binafsi naomba kupewa muongozo ni nini kipo nyuma kwa TBC kwa utaratibu huu wa miaka nenda rudi kwa television ya umma kutangaza dini hizi mbili Uislam na Ukristo huku ikitambuliwa kama television ya umma wote ?
Ngoja nipite kimya maana sisi watu wengine hatuchelewi kutukana tunapokutana na watu waliojaza kinyesi kwenye UBONGO,
 
Unajua idadi ya Waislamu Nchi nzima na unajua idadi ya Wasabato Nchi nzima na hao Wakatoliki unajua idadi yao Nchi nzima ni kiasi gani? Kuna sehemu ukienda hukuti msabato hata mmoja nenda Kilwa hapo ukajione wewe unafananisha million 40 na laki 3 una akili?
 
Peleka shauri mahakamani
 
akili ipo, wachache pia wapate coverage ya ibada zao
 
wapentekoste wameongezeka elewa hilo, tuone ibada zao
 
Ngoja nipite kimya maana sisi watu wengine hatuchelewi kutukana tunapokutana na watu waliojaza kinyesi kwenye UBONGO,
Sasa kama akili huna utachangia nini sasa zaidi ya kujiaibisha tu ?!.
 
Kanisa katoliki ndio linaitawala Tanzania kwa hivyo ni muhimu maudhui yake kurushwa kwenye televisheni ya taifa ili kuteka nyara fikra na kubadili mawazo ya wana wa nchi hii yawe katika mlengo wanaoutaka wao ni kama tu maudhui ya CCM yanavyopewa air time ya kutosha TBC

Tumsifu yesu Kristo @
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…