Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati Alipo kuepo Tido Muhando Aliludisha Iman Kwawatazamaji Lkn Alipo Ondoka Wakaludi Ktk Mfumo Wao Kama Chombo Cha Kisiasa Mimi Kwangu Imekua Nikama Mwiko Kutadhama Chombo Icho Mpaka Watakapo Jirekebisha[/QUOTE
Warudi wakampigie tido mhando magotiSasa kama wanaripoti mambo yasiyo na uhalisia nani aangalie hyo kitu?
Mbona Tido aliwezesha TBC kuwa na mvuto?
Ile ni kick ya kufungia mwakaFaru jon kapatikana kwanza!?
Hatujamfurahisha. Kama umemsifu ni haki kulalamikaShukrani ya punda ni mateke. Pamoja na kum promote Sizonje, lakini bado kawanyima salamu za Xmass.
Hahahahahaa hako ubongokids tu ndo inawatazamaji wengi baada ya kipindi tu watu wanabadili chanelHahah kiongozi umenichekesha sana. Kwakweli kwenye ubongo kids wanatukamata sana ila siku ikija kupatikana channel ingine inayoonesha ubongo kids basi wataisoma namba vilivyo.
Kwani bado hicho kituo kipo mi nlijua kimefungwa
niko Arusha nasikiliza TBC kila siku na huku mtaani wote wanasikiliza TBChapa A town hakuna hiyo makitu ningekuona wa ajabu sana kama usinge delete hayo makitu.
swissme
Teh teh teh Mkuu utaua kisha uhukumiwe au hujui Pogba ndiye Katiba ya Nchi hiiNa king'amuzi chao cha startimes nilishaking'oa na kukitupilia mbali jalalani! Sitaki utani.
Arusha ya mabibo au.niko Arusha nasikiliza TBC kila siku na huku mtaani wote wanasikiliza TBC
Uonngozi wa juu wa TBC na wafanyakazi wengine wa kituo hicho usiku wa kuamkia leo wamefanya kikao cha dharura kuangalia sababu za kudorora kwa kituo hicho kikubwa cha TV ambacho kimemalizika saa 11 alfajiri.
Pamoja na mengine kitu kilichoonesha kuwaumiza kichwa zaidi ni jinsi gani kituo kikubwa kama hicho kinachopata ruzuku kubwa kutoka serikalini kinakuwa na ratings za mwisho huku kikizidiwa na vituo ambavyo havina hata miaka mitano hewani.
Mkurugenzi amesisitiza sana na kuwaomba wafanyakazi wa TBC kama ikitokea rais anapiga tena simu kwenye kituo chochote cha TV basi iwe TBC na ikiwa anatuma kadi ya salamu basi iwe TBC
nakaa SakinaArusha ya mabibo au.
swissme