udagadagaa
Senior Member
- Nov 21, 2013
- 118
- 48
ife kabisa siipendi TBCCM.kila nyumba Habari ya saa mbili wanaangalia SUPER BRAND ITV
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muwekeni Ruge wa clouds mtaona mabadolikoUonngozi wa juu wa TBC na wafanyakazi wengine wa kituo hicho usiku wa kuamkia leo wamefanya kikao cha dharura kuangalia sababu za kudorora kwa kituo hicho kikubwa cha TV ambacho kimemalizika saa 11 alfajiri.
Pamoja na mengine kitu kilichoonesha kuwaumiza kichwa zaidi ni jinsi gani kituo kikubwa kama hicho kinachopata ruzuku kubwa kutoka serikalini kinakuwa na ratings za mwisho huku kikizidiwa na vituo ambavyo havina hata miaka mitano hewani.
Mkurugenzi amesisitiza sana na kuwaomba wafanyakazi wa TBC kama ikitokea rais anapiga tena simu kwenye kituo chochote cha TV basi iwe TBC na ikiwa anatuma kadi ya salamu basi iwe TBC
Kwake yee anaona redio hiyo Ina mvuti kwake kumbuka prezdah anapenda kufagiliwa n'a clouds ndicho wanachomfanyia...Lakini kwanini rais atume salam clouds aache TV ya taifa?
utakuwa ni mpuuzi fulani mwenye mambo ya kizee ww. Kama ni hivyo mbona ina watazamaji wachache? Mbona kiongozi wa nchi haitumii kama kituo chake kikubwa akipendacho? Hiyo elimu inayotolewa ni ya chama kimoja? Kama inatekeleza na kutoa elimu kwa umma hicho kikao cha usiku wa manane cha nini? Hicho kituo hakina mvuto kwani kinatangaza matakwa ya watu fulani na sio ya umma.Watanzania wanapenda mambo ya ovyo ovyo na yenye kusisimua hisia zao.TBC ni chombo cha umma lazima kiwe na maadili ya kutoa taarifa lakini zaidi lazima itoe elimu kwa umma,sio miziki na mambo ya ovyo ndio muone inawafaa.
[emoji16][emoji16][emoji16] hata mimi nilishaacha kuangalia TBCHivi Tbc bado inafanya kazi?
Huyu Ryoba kweli nimeamini kelele zote zile njaa tu utakubali vipi kuchukua kituo wakati unajuwa hakuna uhuru wa habari sasa kawa msemaji wa serikali. Shame on you mtu wa kweli anasimamia msimamo wake sio kama polepoleHaha kwa mwendo huu RYOBA ana kazi kama mtazamo ndiyo huu. Warudishe epl pia Ile tbc2 wapunguze miziki na kuweka vipindi vizuri kama kuonyesha mali asili zetu.
Inazidiwa hata na Orkonorei radio service ya huko Terat simanjiroTbc inazidiwa haya na TV1