Mwendabure
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,138
- 1,044
TBC bila shaka ina laana ya Tido. Katika pita yangu kwenye king'amuzi changu nimeona mtangazaji tena wa habari bwana mdogo ana mikengeza ya haja. Kavaa suti ya koti la vifungo viwili, limembana hadi anahema juu juu. Bado siku wataweka mtangazaji chongo au mwenye mipengo fumufumu.