Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri

Wakiendelea kama hivi italazimu serikali kuleta sheria ya kutulazimisha kutizama televisheni ya taifa. Wanastahili wanachopata!
 
Waachana na kiki za Rais kubwa wao wajitenge na siasa kama ITV kwa maana unajihusisha na siasa kuna watu una watenga pia
 
Wote wamekatazwa
Wakati Alipo kuepo Tido Muhando Aliludisha Iman Kwawatazamaji Lkn Alipo Ondoka Wakaludi Ktk Mfumo Wao Kama Chombo Cha Kisiasa Mimi Kwangu Imekua Nikama Mwiko Kutadhama Chombo Icho Mpaka Watakapo Jirekebisha[/QUOTE
 
Ha haa na bado watakaa sana vikao. Yaani hata mzee wangu pamoja na kuharibiwa akili na Nyerere lakini siku hizi haangalii TBC wala kusoma Uhuru. Mambo yatawaendea vibaya sana tu.
 
Ikiweza kuwa tv ya taifa kama channel nyingine za taifa itafanya vizuri tatizo ipo kichama ndiyo maana hata watu wanao angalia huwa ni wanachama wao
 
Shukrani ya punda ni mateke. Pamoja na kum promote Sizonje, lakini bado kawanyima salamu za Xmass.
 
Hahah kiongozi umenichekesha sana. Kwakweli kwenye ubongo kids wanatukamata sana ila siku ikija kupatikana channel ingine inayoonesha ubongo kids basi wataisoma namba vilivyo.
Hahahahahaa hako ubongokids tu ndo inawatazamaji wengi baada ya kipindi tu watu wanabadili chanel
 

Huyo mkurugenzi ana PhD sasa inakuawaje anashindwa kutafiti kitaalamu chanzo cha tatizo hilo yeye mwenyewe badala ya kuwatesa wafanyakazi kwa kuwanyima usingizi usiku kucha?
 
Wangemshirikisha tindo mhando....huyu jamaa alipofika hapo tv ilipaaaaa.....wakamtoa basi ache ifwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…