Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Dah Mpwa huyo ndio material wife, natoa rai ukaongeze mahari hapo ndio kuna Value for Money! CongratulationsNili.tune kwa bahati mbaya TBC, wife fasta akanambia nitoe, niweke hata channel ya kihindi! Nimekoma.
Nawashangaa sana. TBC inaendeshwa na kodi za wana chadema, wana ccm ,nccr,act na ambao hata hawana vyama lakini wao wanafanya kazi unadhani tawi la CCM. Nani aangalie huo uchafu. Watasubiri sana.TBC waache Siasa wafanye kazi kama BBC.Waache kutumika kama chombo cha propaganda cha CCM.Hiyo kazi wawachie Redio uhuru.Hakuna mchawi ni wao wenyewe.Kutwa mzima CCM CCM,nani atapoteza muda kuangalia?
Mkuu kubali kuna tatizo pale TBC, hebu fanya ulinganifu wa TBC ya Mhando na ya sasa uone ni kipindi gani kulikuwa na ubora.nakaa Sakina
Kwahiyo hao uliowataja ndio wamiliki wa TBC ?TBC hata wamiliki wake wenyewe huwa hawaipendi.
Embu fikiria haya, kama..
1/Kama Rais na mke wake wakiwa Ikulu huwa hawaangalii TBC, nani tena aangalie?
2/Waziri Mkuu huwa hataki kuangalia TBC, nani tena aangalie?
3/Kama makada wa CCM hawataki kabisa kuangalia TBC, nani tena aangalie?
Hata kwa kulazimishwa, hakuna mtu ataangalia TBC. Kile kituo kinapaswa kufungwa kabisa, inatumia pesa za walipa kodi bure.
Wakitaka tuangalie wawe wanaripoti na habari za ukawa,Wanataka kujua matatizo, mie naanza na haya na wengine wataendeleza
1.Quality ya picha ni mbovu
2. Hakuna ubunifu wa vipindi
3. Coverage ya habari ni poor
4. Upendeleo katika kuripoti habari
Na bunge live.Wakitaka tuangalie wawe wanaripoti na habari za ukawa,
Siku Ryoba akitambua kuwa wananchi hawapendi ulaghai, uzandiki, uccm na umagufool-gufool hatalazimika kufanya vikao usiku badala ya kulala...Hatupendagi Ujinga sisi!Uonngozi wa juu wa TBC na wafanyakazi wengine wa kituo hicho usiku wa kuamkia leo wamefanya kikao cha dharura kuangalia sababu za kudorora kwa kituo hicho kikubwa cha TV ambacho kimemalizika saa 11 alfajiri.
Pamoja na mengine kitu kilichoonesha kuwaumiza kichwa zaidi ni jinsi gani kituo kikubwa kama hicho kinachopata ruzuku kubwa kutoka serikalini kinakuwa na ratings za mwisho huku kikizidiwa na vituo ambavyo havina hata miaka mitano hewani.
Mkurugenzi amesisitiza sana na kuwaomba wafanyakazi wa TBC kama ikitokea rais anapiga tena simu kwenye kituo chochote cha TV basi iwe TBC na ikiwa anatuma kadi ya salamu basi iwe TBC.