wakati tunailaumu serikari kwa kuhusika kwake kuidhofisha TBC,tusipuuze suala la wafanyakazi wa hiyo TV.
Je TBC ina wafanyakazi sahihi kwa wakati huu?.jibu ni hapana.
karibia media house zote kubwa duniani zinazofanya vizuri au zenye idadi kubwa ya watazamaji,zinapo ajiri wafanyakazi,sambamba na vigezo vingine,huwa zinazingatia sana candidate wenye talent.
kwa tz,TBC ndio TV/media pekee nchini yenye staff wengi wenye "madigrii" na "mamastazi" lakini wanacho deliver hakiakisi elimu yao.they are performing poor in all aspect.
kwanini? Kwasababu wengi wao wamekosa talent inayoweza kuwafanya wa-compete na staff wa media zingine nchini.muajiri wao aliwaajiri kwa kigezo cha vyeti vya ma-degree
kama rioba amedhamiria kuifanyia mapinduzi tbc, namshauri ,alitafakari hili.
aajiri damu changa wenye talent kubwa inayokubalika kwa sasa kwenye ulimwengu wa teknolojia ya habari.
asibabaike na vyeti,aache kuwababaikia hao wenye madigrii na mamastazi kwa kudhani kwamba watamsaidia kuiboresha TV,kwanza wengi wao ni analog oriented wameachwa sana na teknolojia ya digitali.