Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri

Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri

Mipango ni muhimu kuliko vikao..."
Abdulwakik Hajji Mwinyi
 
Waoneshe Live Ligi Kuu Ya Uengereza! Nadhani Hapo itakuwa Juu Kwa Kujulikana na Yenye Kutazamwa Kuliko TV yoyote hile Hapa East Africa na Central Africa....
 
TBC Wanatafuta Mchawi wakijua mchawi wao ni wao wenyewe

Ukiweka TBC na TV yoyote hata ya mtaani tu,rating ya TBC itakuwa chini

Hakuna anayeangalia habari za TBC kwasababu hazina ukweli, zinapinda ukweli, zimegemea CCM , zinalenga kutetea serikali, zina nia ya kukandamiza upinzani na kubwa ni udanganyifu danganyifu tu

TBC imekuwa tawi la CCM na serikali yake dhidi ya ukweli wa habari zilivyo katika jamii

Watu wanakumbuka uchaguzi mkuu, mikutano ya CCM ilikuwa wazi, ya wapinzani umeme hakuna

Kama unavyoona magazeti ya CCM na serikali yalivyo susiwa na umma TBC haiko mbali

Ni chombo kinachotumiwa kama 'chombo cha dola' kikiacha misingi yake ya kuhabarisha na kugeuka kuwa chombo cha propaganda, uongo na ulaghai tu.

TBC inaendeshwa kwa maagizo ya vyombo vingine na si maagizo ya tasnia ya habari au taaluma

Viongozi wanaisusia si kwasababu inawatendea ubaya! ni kwasababu habari zao haziwezi kufikia umma kutokana na poor rating na audience ya TBC. Nani ana muda wa kuangalia uongo na uzushi

Watakaa vikao sana hakuna watakachopata zaidi ya kujidanganya tu

Wamuulize Tido ilikuwaje! Tido 'aliwekwa' kando kwasababu hakusimama na wanaodhibiti TBC kama Uhuru, Mzalendo na Habarileeeo.

Ukimuona mtu anaangalia habari za TBC, ujue uwezo wake wa kupambanua mambo una shaka
Hata wapiga propaganda wanaikimbia seuse mtu mwenye akili timamu

TBC hata ikifungwa leo haina athari zozote katika tasnia ya habari nchini na sijui kama kuna mtu atajua hawapo hewani, sijui!
 
Right on spot!
Hata wao wenye TBC hawaangalii TBC.
Mheshimiwa Rais alipiga simu Clouds tv kuwapongeza na kusema ni shabiki wao! Sijui kama anaangalia TBC. Simlaumu, TBC is boring.
Labda hata wafanyakazi wa TBC hawaangalii.

BTW: kulikua na sheria au pendekezo la kulazimisha vituo vyote kujiunga TBC wakati wa taarifa ya habari saa mbili usiku, liliishia wapi sijui.
 
tatizo kimekua ni kituo cha kidanganyifu na cha kichama...
eti UKWELI NA UHAKIKA..
ukweli utaupata kwenye vituo vya ccm ?
huo ukweli ungeanza oct.2015
 
BTW: kulikua na sheria au pendekezo la kulazimisha vituo vyote kujiunga TBC wakati wa taarifa ya habari saa mbili usiku, liliishia wapi sijui.
Mkuu hii sheria ipo hai na inasubiri muda tu.

Sheria iliyopitishwa Dodoma majuzi inampa waziri wa habari nguvu za kuagiza chombo chochote cha habari kutangaza habari kwa mujibu wake

Hii maana yake ni kuwa ipo siku utasikia waziri wa habari akiagiza vyombo vyote viungane na TBC katika prime time ili za kupikwa zisikomezwe vichwani mwa umma

Kwavile sheria ile ilipingwa na ilipitishwa kwa tuhuma za 'milioni 10' kinachofanyika ni kupitisha muda ili siku ikitangazwa isionekane jambo jipya bali utekelezaji tu wa sheria

Hii ni kuhakikisha mzozo wa sheria hiyo unafifia kabla ya kuzusha wa saa 2 usiku

Wanajua kuwa TBC imepoteza mashiko haina audience na imebaki hewani yenyewe

Inapata ruzuku na inafanya biashara,haiwezi kushindana na vyombo binafsi

TBC wasichojua, habari ni kama bidhaa inauzwa , ina wateja, inathamani ,ubora n.k.

Katika soko huria wananchi wana kiu ya habari, kutoa habari zisizo na ukweli, udanganyifu na ulaghai ni kuwafanya wajinga. Zama hizo zilikwisha na RTD

Siku hizi watu wana uwezo wa kuangalia EA, China, Middle east, ulaya na Marekani.

Nani ana muda wa kuangalia habari zilizochujwa, finyangwa, zilizoratibiwa Lumumba?

Hawa watu wanakaa vikao kwasababu hawajui mchawi wao ni wao wenyenyewe.

Huwezi kuuza nyanya zilizooza ukategemea 'rating' katika soko la ushindani

Wanachotakiwa ni kuwa huru na 'vyombo' vile vinavyowaelekeza nini cha kusema.

Wanatikiwa wasiwe biased , walete habari zinavyotokea na waache propaganda

Tido Mhando alijua nini maana habari. Alijua ni bidhaa na ilihitaji soko na ubora.

Kwasababu tu hakuendana na maagizo ya mtaa wa ''New street'' akaondolewa

TBC ni chombo cha chini, dhaifu kama unataka kufungua kichwa chako na kuhabarika

Watakaa vikao mpaka kupambazuke, mchawi wao ni wao wenyewe

Ni moja ya mashirika ya umma yanayohitaji kufutwa, hata ikifa leo nani ataathirika!

Pesa za kuendesha TBC zilielekezwe katika mikopo ya wanafunzi, TBC ifungwe tu
 
Wanajibaraguza kutafuta mchawi huku wakijua wazi kuwa wao ndio wachawi wenyewe!
1. Wakome UTBCCM; Kuendelea kuwa chombo cha propaganda za ccm badala ya chombo cha taifa, hata wakifanya vikao kwa mwaka mzima mfululizo hawatoboi!
2. Mkurugenzi mkuu wa sasa hawezi kuisaidia tbc hata kidogo, ana mkwamo wa kifikra na superiority complex kisa eti ana phd aka "parmanet head damage".
 
Hili la TBC linakera.Wanatumia kodi kutafuta mchawi wao wenyewe ni wachawi.

Hatuna tatizo kwa TBC kuwa tawi la CCM, na wachukuliwe kama CCM ilivyochukuwa Maji maji, Kirumba, Amri Abeid n.k. ambavyo vilijengwa kwa nguvu zetu sote

Tunawapa ujumbe, ikiwezekana watangaze ni mali ya CCM hakuna atakayesumbua

Tumepoteza mali nyingi kwa CCM na wao hawatakuwa wa kwanza

Tusichotaka ni kodi zetu kutumika kuendesha shirika la TBC.

Hakuna manufaa yoyote kwavile hata wao wanakesha kutafakari kwanini rating yao ipo chini kama ipo. Ukweli ni kuwa haina rating, ni nill, zero

Kodi zetu zinapotumika kwa propaganda za CCM na serikali yake inatukera sana

Kinachotuumiza ni kodi, wakiondoa kodi wakapata kutoka CCM kama ruzuku hatuna shida

Wakiongea mchana kutwa propaganda za CCM na serikali yake hatuna shina.

Ilimradi tu propaganda , ulaghai, uongo huo haulipwi na kodi zetu.

Yes ni propaganda hata wao wanajua hakuna anayeangalia. Utajifunza nini kutoka TBC?

Nakuhakikishia Diamond akiwa na TV, rating yake itakuwa kubwa kuliko TBC.

Si kwamba ana maudhui mazuri bali watu wamechoka TBC, hawataki kuiangalia

Wanaoipa ruzuku wanakiri haina audience,wanatuma salam na kadi kwenye audience

Ikifika hapo ujue hakuna aliyebaki bali minara na waandaa vipindi wakiangalia kazi zao

Tumechoka kulipa kodi kwa shirika lisilo na tija.

TBC inaweza kufa tu kama KAMATA na mashirika mengine na maisha hayataathirika hata kwa dakika moja, wataathirika wajiriwa si umma

Eti wanakaa kutafuta sababu, hawajui mchawi ni wao wenyewe.

Hivi hawawezi kutambua 'wanavyotumika' .

Kama hawajui mchawi ni wao wenyewe hili shirika life tu hata jioni ya leo

Huu ni ujumbe kwa ninyi mnaokesha kutafuta mchawi wakati ni wachawi wenyewe.

Rating yenu haipo wala si ndogo. Kama kuna aliyewaambia ni ndogo anazidi kuwaloga

Tumewachoka, hatuwahitaji na mtusaidie kufunga kituo hicho ili kunusuru kodi zetu

Kama mnataka ajira tangazeni kuwa sehemu ya Uhuru, Mzalendo habariile n.k.

Acheni kuchukua kodi zetu kwa ajira, vikao vya bodi n.k.

Tumewachoka wala msijirekebishe, fungeni hakuna namna mnaweza kupata public trust

Hatuna sababu za ninyi kuwepo hewani, hatuwahitaji tunalilia kodi zetu , fungeni tu TBC

Hatujadili hatma yenu, tunalilia kodi zetu zinavyotumika vibaya kupitia TBC.Hilo tu
 
Kwanza mimi nikiwakuta watoto wanaangalia TBC nawafokea kweli kweli. Sitaki kabisa wasilkilize TV inayoongopa kila siku.
 
Uonngozi wa juu wa TBC na wafanyakazi wengine wa kituo hicho usiku wa kuamkia leo wamefanya kikao cha dharura kuangalia sababu za kudorora kwa kituo hicho kikubwa cha TV ambacho kimemalizika saa 11 alfajiri.

Pamoja na mengine kitu kilichoonesha kuwaumiza kichwa zaidi ni jinsi gani kituo kikubwa kama hicho kinachopata ruzuku kubwa kutoka serikalini kinakuwa na ratings za mwisho huku kikizidiwa na vituo ambavyo havina hata miaka mitano hewani.

Mkurugenzi amesisitiza sana na kuwaomba wafanyakazi wa TBC kama ikitokea rais anapiga tena simu kwenye kituo chochote cha TV basi iwe TBC na ikiwa anatuma kadi ya salamu basi iwe TBC.
Watuambie ruzuku huwa wanafanyia nini, badala ya kutumia ruzuku kutafuta na kutengeneza habari, huenda wanaripana posho
 
Tatizo linafahamika saaana, hata StarTV nao siku zinahesabika, ukimkumbatia yule mdudu "nyinyiemu" utakufa tu. huyo ni virus mkubwa saaaana kwenye hii nchi
 
Back
Top Bottom