N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Hata mawingu media anayoihusudu mukulu haina mi-bias kama ya hawa tbccc
wafanye nini ili mgonjwa apate nafuu:
1. waboreshe uoni
2. watafute vipindi kutoka kwa independent producers wenye ubunifu kv komedi,talk shows
3.waboreshe grafix,wanazo za kitoto sana
4.wasiende mbali...wakajifunze kile KBC inafanya ina nafuu sana ile
5.waachane na senior ambao ni stagnant ikiwezekana wawademote waweke vichwa kwenye idara za production ambao wako sharp
6.tv ni taswira na skills wengi wa watangazaji wao hususani wa habari mvuto -3 skills -2
7. wa design upya studio zao zimekaa ki-amateur sana hasa ya habari...
8.mkurugenzi mkuu akaonane na mukulu pale gogoni amwambie shauku yake ya kuleta mabadiliko bila interference ya mtu hata WH mwenyewe au makada waandamizi wa cccccm
9.waongeze yao
10.wanitafute niwafanyie kazi ya maboresho spana ninazo[emoji4]
nyadikwa