Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri

Mungu anisaidie mwakani niiangalie hata Mara moja hii TV yetu ya taifa mwaka huu umepita kapa sijaiangalia sijui taarifa ya habari huwa wanarusha saa ngapi!!? Sijui wanavipindi gani vya kuvutia na vinarushwa mda upi na upi..!
 
wakati tunailaumu serikari kwa kuhusika kwake kuidhofisha TBC,tusipuuze suala la wafanyakazi wa hiyo TV.

Je TBC ina wafanyakazi sahihi kwa wakati huu?.jibu ni hapana.

karibia media house zote kubwa duniani zinazofanya vizuri au zenye idadi kubwa ya watazamaji,zinapo ajiri wafanyakazi,sambamba na vigezo vingine,huwa zinazingatia sana candidate wenye talent.

kwa tz,TBC ndio TV/media pekee nchini yenye staff wengi wenye "madigrii" na "mamastazi" lakini wanacho deliver hakiakisi elimu yao.they are performing poor in all aspect.

kwanini? Kwasababu wengi wao wamekosa talent inayoweza kuwafanya wa-compete na staff wa media zingine nchini.muajiri wao aliwaajiri kwa kigezo cha vyeti vya ma-degree

kama rioba amedhamiria kuifanyia mapinduzi tbc, namshauri ,alitafakari hili.

aajiri damu changa wenye talent kubwa inayokubalika kwa sasa kwenye ulimwengu wa teknolojia ya habari.

asibabaike na vyeti,aache kuwababaikia hao wenye madigrii na mamastazi kwa kudhani kwamba watamsaidia kuiboresha TV,kwanza wengi wao ni analog oriented wameachwa sana na teknolojia ya digitali.
 
Nasuɓiri 2018 panapo majaaliwa ntawasha tbc niangalie ƙomɓe la ɗunia
 
TBC wanavuna walichopanda. Kazi mliyoifanya mwaka jana ya kubadilisha Vichwa vya magazeti inawaponza na hiyo laana haitafutika kamwe.....!
 
Tiba ya kwanza waache kutumika kisiasa!

Pili wasitishiwe ruzuku ili wajiendeshe kisiasa!
 
Ryoba, mtu sahihi mahali pasipo sahihi. Hata afanyeje hakuna dawa katika hili. Sasa kwa academician kama Ryoba, ni kuamua kusuka ama kunyoa. Huwa sielewi Ryoba ninayemfahamu alikubalije kwenda TBC, kwa maana kimsimamo tu na elimu aliyonayo hawezi kukubali propaganda au kusema/kutunga uongo.
 
Nilifikiri mkataba wao na Star times ulilenga kuibadilisha TBC kimuonekano, picha za digtor kumbe kama analog tu,bora huo mkataba ukatazamwa upya lengo lilikuwa mini?
 
Sizonje akae akijua wafuasi wake ndio watazama tbc unless otherwise hamna kipimo kingine
 
tbc kipindi wapo na tido mhando nilkua siangalii tv nyngine kabisa zaidi yao,si taarifa ya habari au vipindi vingine,popote ninapokuwa nachek tv bas by then ilkua ni tbc,lakini walipochanganya professionalism na politics nami nikaishia hapo hapo.sijaitazama tena na nyumban pia hakuna wanaoitazama kabisa,kiufupi imepotea.Bora wajitazame tena wafanye assessment waone ni wapi wamepotea na nini wafanye ili atleast warudi machoni kwetu tena,la sivyo watakuwa wanaitazama wao wenyewe
 
kungekuwa na kipimo kinachoonyesha wasikilizaji wangapi wako hewani , nafikiri watangazaji wange tafuta shughuli nyingine, manake ni aibu unapotangaza kwa madoido kumbe hakuna hata mtu mmoja anakusikiliza
Kipimo cha kujua viewers na waskilizaji wa vyombo vya habari kipimo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…