Yaani kweli hawajui tatizo? Kweli au wanatania??? Waache siasa za upendeleo, nani anamkumbuka yule Binti aliekua anasoma magazeti kwa kuruka headings za Upinzani au kuondoshwa kwa Tido. Sababu ziko wazi, wajipambanue. Naapa sijawahi kusikiliza TBC radio au TV labda pale tu ambapo labda kuna kipindi kile cha Yule Jamaa mwenye kipindi cha Ubongo Kids ambapo watoto wangu wanakipenda