Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uonngozi wa juu wa TBC na wafanyakazi wengine wa kituo hicho usiku wa kuamkia leo wamefanya kikao cha dharura kuangalia sababu za kudorora kwa kituo hicho kikubwa cha TV ambacho kimemalizika saa 11 alfajiri.
Pamoja na mengine kitu kilichoonesha kuwaumiza kichwa zaidi ni jinsi gani kituo kikubwa kama hicho kinachopata ruzuku kubwa kutoka serikalini kinakuwa na ratings za mwisho huku kikizidiwa na vituo ambavyo havina hata miaka mitano hewani.
Mkurugenzi amesisitiza sana na kuwaomba wafanyakazi wa TBC kama ikitokea rais anapiga tena simu kwenye kituo chochote cha TV basi iwe TBC na ikiwa anatuma kadi ya salamu basi iwe TBC.
Sasa mkuu tbc utatizama nini cha maana? hakuna cha maana pale.Wakati Alipo kuepo Tido Muhando Aliludisha Iman Kwawatazamaji Lkn Alipo Ondoka Wakaludi Ktk Mfumo Wao Kama Chombo Cha Kisiasa Mimi Kwangu Imekua Nikama Mwiko Kutadhama Chombo Icho Mpaka Watakapo Jirekebisha
Mi kfurush kikiisha naweka liungo likubwa natizama TV za mengi. Tbc sigusi, sina muda wa kuharibu na kupoteza unit kijinga jingaMimi natazama kifurushi kikiisha kwenye king'amuzi na kipingi cha chereko tu.
Uonngozi wa juu wa TBC na wafanyakazi wengine wa kituo hicho usiku wa kuamkia leo wamefanya kikao cha dharura kuangalia sababu za kudorora kwa kituo hicho kikubwa cha TV ambacho kimemalizika saa 11 alfajiri.
Pamoja na mengine kitu kilichoonesha kuwaumiza kichwa zaidi ni jinsi gani kituo kikubwa kama hicho kinachopata ruzuku kubwa kutoka serikalini kinakuwa na ratings za mwisho huku kikizidiwa na vituo ambavyo havina hata miaka mitano hewani.
Mkurugenzi amesisitiza sana na kuwaomba wafanyakazi wa TBC kama ikitokea rais anapiga tena simu kwenye kituo chochote cha TV basi iwe TBC na ikiwa anatuma kadi ya salamu basi iwe TBC.
Hili Gazeti hata wakuu Wa wilaya hawalinunui Mkuu, waulize wauza magazeti watakwambia ukweli.na bado gazeti la uhuru nahisi linasomwa sana katika ofisi zao
Wewe ni NP katika Id tofauti, unaambiwa watu wamekaa hadi usiku Wa manane wanajadili kudorora kwa ufanisi Wa chombo hiki cha wananchi. Wanatafuta sababu za kwa nini watazamaji hawakithamini kama vyombo vingine wewe unakuja na ngonjera ya "wana OB van ya kisasa"? Ama kweli nyie wapigania 'UHURU" wa siku hizi ni vipofu. Na wewe Unadhani kwa maneno hayo umetoa mchango murua Wa kuboresha TV ya Taifa.? Hili liko wazi TV ya wananchi haipendwi na wananchi, ni wajibu Wa waliopewa dhamana ya kuisimamia kujiuliza kwa nini watu hawapendi chao. Tutoke na ushauri Wa kuwapa ili kurekebisha hii hali maana ni wazi kama TV hii isingekuwa inapata Ruzuku ikategemea mapato yake kujiendesha ingeshafungwa miaka 3 iliyopita. Baada ya Tido aliyeletwa kuondolewa ubunifu ulikosekana. Waliowashauri Viongozi wetu kumwondoa Tido kwa sababu za kisiasa hawakuangalia faida ya kibiashara na kimvuto waliyokuwa wanaipoteza kwa kumwondoa Mr. TM. Chombo cha habari kitavutia matangazo yanayokiingizia faida kwa kuwa kinapata watazamaji wengi, na kitapata watazamaji wengi pale tu kitakapokidhi matakwa na mapenzi ya watu wenye mitazamo tofauti. Kutangaza kwa kuremba habari za upande mmoja na wakati mwingine watazamaji wakiona wazi zinapotoshwa kwa masililahi ya upande huo ambayo obviously siyo maslahi ya taifa per se,kunawaondoa na kuwapoteza watazamaji makini hata Wa upande huo. Katika ulimwengu Wa sasa Wa utandawazi ambapo taarifa husafirishwa kwa njia mbalimbali si rahisi kuwadanganya watu. TBC angalieni mlipojikwaa msiangalie mlipoangukia, tafuteni kilichorudisha imani ya watazamaji wakati Wa Tido na mkiboreshe, hata kama kitakuwa kinaudhi baadhi ya wakubwa lakini kinaleta mvuto wenye manufaa na faida kwa shirika letu kichukueni na muwaeleze wakubwa wanaokwazwa na kitu hicho manufaa yake. Msikubali TV ya Taifa kuitwa TV ya Chama, ondoeni mawazo hayo vichwani mwa watazamaji kwa kubalance story zinazohusu pande zote na matokeo mtayaona. Iboresheni TBC kuwa TV halisi ya Taifa.TBC ni imara na ndiyo yenye vyombo vya thamani kubwa sana ktk studio zake.
Wafanyakazi wake ni professional wote na ni TV inayojua nini inafanya ktk tasnia ya habari
TBC hawasubiri sifa za kupongezwa kwani wao wanawajibika kuwapa wanainchi taarifa,kuwaburudisha na kuwaelimisha.
TBC Obvan yao ni Kali sanaa na ziko chache nchi za Africa.
Ile ni TV ya Taifa na itaendelea kufanya kazi ktk kuitangaza Serikali kama Sera inavyosema.