Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri

Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri

Na kama ingelikuwa si ruzuku, kingelishakufa zamani. Taasisi nyingi za serikali hazina faida kwa wananchi.Ndio maana wananchi wanazipotezea.
 
Kuna kipindi walijitahidi kuonyesha matukio Live kama mpira wa Ulaya lakini wapi bado wanaoifuatilia ni wachache mno...!
 
Sasa mkuu unalinganisha TV1 na TBCCM? Kwanza wana picha mbaya utadhani wanatumia kamera ya Kodak.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu author wanatumia camera ya Tecno M3?
 
Me najua TBC namaanisha Togo bradicausto cooperation kumbe hata hii TVT nayo ni TBC?
 
Kifurushi changu kikiisha ndio napataga fursa ya kuangalia TBC na kipindi ninachoangalia ni ubongo kids sitaki mchezo

kuna jamaa mmoja muuza nyama chanika DSM nje la duka lake la kuuza nyama kaandika TBC butchery wateja hawaendi
Kuna jamaa alimwekea mkewe talaka mezani akamwambia endapo atamkuta anatazama Tbc basi aondoke na talaka yake fasta

Ila mpk leo sijajua Tbc ni nini.
 
Mitaaambo mibovu..... coverage inasua sua..mara saut ikate mara cjui vp... vipindi vyao havibase kwa rika zooote... habari zao ni ubinafsi na ufinyu wa utafiti
 
TBC wajirekebishe, la sivyo kwa upepo naona toka kwa mkulu, ruzuku ya TBC itaanza kwenda huko mawinguni!!
 
labda rioba kanusa harufu ya kutumbuliwa....maana mzee hatabiriki.

anaweza akatafuta tukio la kuibukia mkesha wa mwaka mpya ili kesho yake liwe gumzo.(nawaza tu)
 
Nili.tune kwa bahati mbaya TBC, wife fasta akanambia nitoe, niweke hata channel ya kihindi! Nimekoma.

Kwa ikitokea familia nzima wananishambulia nitoe hiyo channel au niweke DVD . I am worried kwa hapa Arusha hata majirani wanaweza ku kufuata kama watasikia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
nikkikumbuka ATC,TRC,NBC NK naiona mwisho wa TBC,CCM,UDA,NSSF, na vitu vyote vya umri huo.
 
Back
Top Bottom