Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walimu huwa wanakamatika kwa petty things, ndio hawa tunategemea watatoa wasomi wanaojitambua, seriously?
Si afadhali ya hao walimu, Kuna manyumbu Fulani yenyewe inakamatika kwa vijivineno cichache tu vya kijinga......utasikia 'people's......Walimu huwa wanakamatika kwa petty things, ndio hawa tunategemea watatoa wasomi wanaojitambua, seriously?
Hakuna afadhali. Walimu waki fall so does education ya nchi hii. is why tunazidi kupata wasomi wasio na impact hata nje hawaajiriki kirahisi.Si afadhali ya hao walimu, Kuna manyumbu Fulani yenyewe inakamatika kwa vijivineno cichache tu vya kijinga......utasikia 'people's......
Wewe unaejitambua ungetokea wapi kama si hawa walimu kenge wewe?Walimu huwa wanakamatika kwa petty things, ndio hawa tunategemea watatoa wasomi wanaojitambua, seriously?
Wangekataa kabla yaYaani mmeshaapokea mitungi ndio unasema tuwatake radhi wallaby mtawajibika
Si afadhali ya hao walimu, Kuna manyumbu Fulani yenyewe inakamatika kwa vijivineno cichache tu vya kijinga......utasikia 'people's......
Ni mwendo wa rushwa tupuKampeni Zimeanza Kwa Kasi Ndani Ya Ccm Mpaka Aibu
Hivi nimekuzidi wewe ee?!!!🤭🤭🤭Punguza stress sio nzuri kwa afya yako.