TBC; walimu Arusha hawatumii nishati chafu bali ni kumuunga mkono Rais Samia. Mtutake radhi.

Yaani mmeshaapokea mitungi ndio unasema tuwatake radhi wallaby mtawajibika
 
Walimu huwa wanakamatika kwa petty things, ndio hawa tunategemea watatoa wasomi wanaojitambua, seriously?
Si afadhali ya hao walimu, Kuna manyumbu Fulani yenyewe inakamatika kwa vijivineno cichache tu vya kijinga......utasikia 'people's......
 
Si afadhali ya hao walimu, Kuna manyumbu Fulani yenyewe inakamatika kwa vijivineno cichache tu vya kijinga......utasikia 'people's......
Hakuna afadhali. Walimu waki fall so does education ya nchi hii. is why tunazidi kupata wasomi wasio na impact hata nje hawaajiriki kirahisi.
Kuchezea mfumo wa elimu ni kuchezea future ya nchi

Hao peoples power hawana impact yoyote nchi hii
 
Kwahiyo nchi hii ina walimu alf 5 pekee?
Au walimu wa Arusha mjini ndiyo wenye changamoto kubwa ya nishati ya kupikia kuliko wengine nchini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…