TBC wamekata matangazo ya Bunge kuficha Sheria ya Manunuzi inayoruhusu Serikali kununua ndege, treni na meli za mitumba?

Hiyo ni bajeti ya jeshi la polisi
Mbona huwa mna majibu mepesi sana mnadhani watu wote ni wa hovyo hivyo tu? Kuna bajeti ya keshi la polis au bajeti ya wizara ya mambo ya ndani? Huwa shule mnaenda kufanya nini?
Vipi kuhusu bajeti ya Tume ya uchaguzi?
Kwahiyo bajeti ya uchaguzi ni bajeti ya keshi la polisi? Duh!
 
Duh, hiyo hiyo ingenunua mpya ungejipiga kifua
 
Una hela ya kununua vipya!?..Kodi unakwepa,tozo ulizisakama,kukopa unapigia kelele, kuwekeza bandari unafanyia maombi lisiwezekane
Hiyo used tunapigwa mara 2 ya bei mpya huoni ulivyo fala.kitu kikiwa mtumaba unawezije kupata thamani halisi
 
Ukute wanafanya hivyo kwa lengo la kujustify mitumba ya escape from sobibo waliyonunua na zitakazofuata.
Ndio hivyo kuna mkubwa ameshaaharisha inatafutwa njia ya kusafisha kinyesi chake kama ilivyokuwa kwa DP W
 
Pia uanwezaje kupata bei halisi ya mitumba kam sio serikali iliyofeiled ni ninijamani
 
Tukigoma kulipa kodi sio kosa kwa Kweli hautwezi kulipa kodi manyangau yakazifaidi
 
Daaah 🤔🤔!! Hivi kuna wakati utafika wananchi wajivunie wabunge wao? Au ndo mpaka angalau katiba mpya ipatikane kwanza na tume huru isiyokua nominated na Rais!!
 
Hiyo used tunapigwa mara 2 ya bei mpya huoni ulivyo fala.kitu kikiwa mtumaba unawezije kupata thamani halisi
Ungesoma biashara ungejua kutafuta thamani ya kitu(mashine) mtumba,tatizo mbumbumbu
 
Sasa hiyo bajeti ya uchaguzi ni kwa ajili ya makaratasi ya kupigia kura na wino!?..we una mgogoro Sana kichwani na ugonjwa wa akili wa kujiona unajua
 
Pia uanwezaje kupata bei halisi ya mitumba kam sio serikali iliyofeiled ni ninijamani
Mtumba ni hatari sana kwenye sekta ya uma.
Wafanyabiashara wazawa au wa kimataifa wanajua kuwa mahali ambapo hakuna mwenyewe na ambapo unaweza kuhonga ukapitisha chochote ni sekta ya uma.
Sekta binafsi hongo siyo rahisi kwani mmiliki anajilinda. Rushwa mara nyingi huhusisha sekta ya uma au serikali, hivyo kununua mitumba ni kuhamasisha au kuweka mazingira mazuri ya rushwa. PCCB wapo wapi kuishauri serikali?
 
Ktk Awamu hii ya mpito, Tutaona mengi.
 
Hiyo mipango na bajeti za miradi na manunuzi zilikosewaje kiasi cha kulazimika kubadili sheria ya manunuzi. Yaelekea uwajibikaji ni wa kiwango cha chini sana.
Wasafiri toka ughaibuni huenda watasita kupanda ndege za shirika lisiloweza kununua ndege mpya.
Anyway, Tz itakuwa dampo la chuma chakavu.
 
Legacy
 
Seriously kabisa umewasha Tv na kuweka channel ya tbc? Na pia unadiriki kuanzisha Uzi humu kuhusu utendaji wa tbc??
 
Usichojua au kama unajua labda umesahau,mwanzoni mwa miaka ya tisini magari na vifaa vingine yalikua yananunuliwa mapya kabisa na vyenye quality....upuuzi wa watawala wetu ndio umeturudisha nyuma kuanza kununua vitu vya mtumba na low quality.
 
Una hela ya kununua vipya!?..Kodi unakwepa,tozo ulizisakama,kukopa unapigia kelele, kuwekeza bandari unafanyia maombi lisiwezekane
Magari ya Mawaziri je hela zipo au hii ni kwa public tu haiwahusu nyinyi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…