Tatizo sio mitumba, ila kununua mitumba kwa bei ya brand new. Yaani sisi waafrika sijui tumerogwa na nani, na ndiyo maana kila siku hua nasema kama kungekuwa sheria inaruhusu kuchagua mtu wa kuua, basi kila mwaka tunapoadhimisha sherehe za uhuru basi mimi ningekuwa nachagua kichwa cha mwanasiasa mmoja nachinja. Maana hawa wanasiasa wenyewe wanajiona wana akili sana kuzidi watu wengine, kutwa vikao vyao ni kaa na kuwaza jinsi gani kuwaibia wananchi. Hivi inamaana leo wabunge wamesahau kama tulishawahi kuuzia rada mbovu kwa bei kubwa mpaka wazungu wakawa wanatushangaa, leo huu mwigulu anataka aturudishe kulekule, hivi hawa wabunge tukiwachagua wanajua wananchi tunakuwa mazombie hatuna kitu tunachokijua ila wao ndiyo wanajua kila.