Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Tatizo unapompigia kura anakuwa ni mgombea wako wa ubunge, ukisha mchagua anakuwa ni mbunge wa CCM na ndiyo inamlazimu kuitii, hatakiwi kukusikiliza wewe.Daaah 🤔🤔!! Hivi kuna wakati utafika wananchi wajivunie wabunge wao? Au ndo mpaka angalau katiba mpya ipatikane kwanza na tume huru isiyokua nominated na Rais!!
Mpaka mtumba ukufikie wewe umekwisha onesha uimara wake, hivyo unatakiwa uuzwe kwa bei kubwa kuliko kipya.Tatizo sio mitumba, ila kununua mitumba kwa bei ya brand new. Yaani sisi waafrika sijui tumerogwa na nani, na ndiyo maana kila siku hua nasema kama kungekuwa sheria inaruhusu kuchagua mtu wa kuua, basi kila mwaka tunapoadhimisha sherehe za uhuru basi mimi ningekuwa nachagua kichwa cha mwanasiasa mmoja nachinja. Maana hawa wanasiasa wenyewe wanajiona wana akili sana kuzidi watu wengine, kutwa vikao vyao ni kaa na kuwaza jinsi gani kuwaibia wananchi. Hivi inamaana leo wabunge wamesahau kama tulishawahi kuuzia rada mbovu kwa bei kubwa mpaka wazungu wakawa wanatushangaa, leo huu mwigulu anataka aturudishe kulekule, hivi hawa wabunge tukiwachagua wanajua wananchi tunakuwa mazombie hatuna kitu tunachokijua ila wao ndiyo wanajua kila.
Ni muhimu wabunge wa upinzani wawe weng bungeni kuliko wa CCM!! Kdg hua wana impact kuliko wa CCM!!Tatizo unapompigia kura anakuwa ni mgombea wako wa ubunge, ukisha mchagua anakuwa ni mbunge wa CCM na ndiyo inamlazimu kuitii, hatakiwi kukusikiliza wewe.
Ulitaka Waziri anayeambatana na msafara wa rais atembelee harrier Tako la nyani!?Magari ya Mawaziri je hela zipo au hii ni kwa public tu haiwahusu nyinyi??
Una hela ya kununua vipya!?..Kodi unakwepa,tozo ulizisakama,kukopa unapigia kelele, kuwekeza bandari unafanyia maombi lisiwezekane
Magufuli angekuwepoWaziri anateuliwa na rais, hawezi jiamlia lolote kinyume na mteuzi.
Hi nchi Ina wajinga wengi sanaUna hela ya kununua vipya!?..Kodi unakwepa,tozo ulizisakama,kukopa unapigia kelele, kuwekeza bandari unafanyia maombi lisiwezekane
Marehemu mzee wangu alinunua "kilimo kwanza" mwaka 1998 ikiwa mtumba na mpaka leo naitumia.Vichwana mabehewa ya treni ulinganishe na v8,umelogwa!?
Hapa ni nafasi ya kupiga pesa tu,yaani mitumba hiyo itanunuliwa kwa bei kubwa kama mpya vile.Wenzetu wanapiga vita mitumba sisi ndio kwanza tunabadili sheria tuipokee[emoji16][emoji2827]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unaji-kontradikt mwenye kichwa Cha kuvalia kapelo!?Marehemu mzee wangu alinunua "kilimo kwanza" mwaka 1998 ikiwa mtumba na mpaka leo naitumia.
Ni kheri kupoteza mtu mmoja kuliko kuweka hatarini mamia ya wasafiri wa treni,ndege na meli.
Nao watumie VX mitumba.
Pole kwa kuwa na kichwa cha kufugia nywele.
Kakwambia nani ni mpya!?Hi nchi Ina wajinga wengi sana
mbona Magufuli alinunua ndege mpya tena sio Moja zaidi ya 7 tena Kwa cash
Na magari ya viongozi? Nayo yameorodheshwaUna hela ya kununua vipya!?..Kodi unakwepa,tozo ulizisakama,kukopa unapigia kelele, kuwekeza bandari unafanyia maombi lisiwezekane
Tatizo tumetoka kua na rais bora sana na kua na rais sio bora kabisa (nimeepuka kumwita ovyo). Ulazima kwa serikali kununua vifaa vipya ni njia ya udhibiti.Mwigulu Nchemba amependekeza kwenye Sheria mpya ya Manunuzi Serikali inunue Ndege, Vichwa vya Treni, Mabehewa ya Treni, Meli zilizotumika badala ya kuagiza mpya na wabunge wanasherehekea bungeni kwa sababu wanajua wananufaika na nini kufanya maamuzi hayo.
Sheria hii ikipita iko siku taifa litakuja kuomboleza msiba mkubwa utakaosababishwa na maamuzi ya leo pale Meli zitapakuja kuzama, ndege kuungua angani, treni kuua watu wakati huo Mwigulu yuko zake ughaibuni hayuko tena tanzania. Sisi familia zetu zinakwenda kupoteza maisha kwa maamuzi ya leo kisa tu watu wamekula rushwa kufanya maamuzi hayo.
Hii Sheria ni moja ya Sheria mbovu na iliyojaa mazingira ya rushwa kwa watu wachache wenye madaraka kwa sasa kina mwigulu na washirika wake.
Tuliombee taifa letu tuko kwenye hatari kubwa.
Mbaya zaidi Bunge haliko live kwenye TV ili watanzania wasijue kinachojadiliwa na kupitishwa na Bunge.
Watakuwaje wengi wakati matokeo hayategemei kura, wanajimegea pande kubwa lililonona!Ni muhimu wabunge wa upinzani wawe weng bungeni kuliko wa CCM!! Kdg hua wana impact kuliko wa CCM!!
Hapo sasa. Ila vifaa na magari ndege na treni kwa ajili ya wananchi ziwe mitumba huku mkifukuzia binafsi kua tajiri namba moja afrika kwa kula rushwa. Mlaaniwe wote.Acha ujinga, mbona ma V8 hamnunui used, hela mnapata wapi?
Mbuumbu ni wew, usijua huwezi kupata thamani ya mtu zaidi ya kutengeneza nafasi kwa wezi na madalaliUngesoma biashara ungejua kutafuta thamani ya kitu(mashine) mtumba,tatizo mbumbumbu
Salam comrades,Mwigulu Nchemba amependekeza kwenye Sheria mpya ya Manunuzi Serikali inunue Ndege, Vichwa vya Treni, Mabehewa ya Treni, Meli zilizotumika badala ya kuagiza mpya na wabunge wanasherehekea bungeni kwa sababu wanajua wananufaika na nini kufanya maamuzi hayo.
Sheria hii ikipita iko siku taifa litakuja kuomboleza msiba mkubwa utakaosababishwa na maamuzi ya leo pale Meli zitapakuja kuzama, ndege kuungua angani, treni kuua watu wakati huo Mwigulu yuko zake ughaibuni hayuko tena tanzania. Sisi familia zetu zinakwenda kupoteza maisha kwa maamuzi ya leo kisa tu watu wamekula rushwa kufanya maamuzi hayo.
Hii Sheria ni moja ya Sheria mbovu na iliyojaa mazingira ya rushwa kwa watu wachache wenye madaraka kwa sasa kina mwigulu na washirika wake.
Tuliombee taifa letu tuko kwenye hatari kubwa.
Mbaya zaidi Bunge haliko live kwenye TV ili watanzania wasijue kinachojadiliwa na kupitishwa na Bunge.
Unadhani hii kodi unawapa TRA ndiyo inaenda kununua vitu nje?Una hela ya kununua vipya!?..Kodi unakwepa,tozo ulizisakama,kukopa unapigia kelele, kuwekeza bandari unafanyia maombi lisiwezekane