technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Mbowe ni tapeli wa siku nyingi mno sio leoToka lini watu waliokuwa hawawezi hata kutangaza habari za chama miaka zaidi ya 20 nyuma Leo wanaratibu press ya Mbowe??
Hhapa ndio naamini 100% mbowe ni tapeli na sio mpinzani kabisa
Poleni watanganyika.
God is Revealing kila kitu. Chadema kinaenda kuwa chama bora sana.Toka lini watu waliokuwa hawawezi hata kutangaza habari za chama miaka zaidi ya 20 nyuma Leo wanaratibu press ya Mbowe??
Hhapa ndio naamini 100% mbowe ni tapeli na sio mpinzani kabisa
Poleni watanganyika.
Nakumbuka Slaa naye ilikuwa hivi hivi wakati anaondoka cdm. Sasa ukweli wa kuwa Mbowe alikuwa nani ndani ya cdm unafahamika. Hongera Lisu kwa kumuumbua Mbowe.Toka lini watu waliokuwa hawawezi hata kutangaza habari za chama miaka zaidi ya 20 nyuma Leo wanaratibu press ya Mbowe??
Hhapa ndio naamini 100% mbowe ni tapeli na sio mpinzani kabisa
Poleni watanganyika.
Tundu Lissu amekuwa dawa ya uponyaji, ndio maana Mungu alimuepusha na kile kifo.Mbowe =CCM= TBC
haya hivyo mbowe hatashindwa chadema hicho ni chama chake,chadema ni chaggademaNakumbuka Slaa naye ilikuwa hivi hivi wakati anaondoka cdm. Sasa ukweli wa kuwa Mbowe alikuwa nani ndani ya cdm unafahamika. Hongera Lisu kwa kumuumbua Mbowe.
π³π !Toka lini watu waliokuwa hawawezi hata kutangaza habari za chama miaka zaidi ya 20 nyuma Leo wanaratibu press ya Mbowe??
Hhapa ndio naamini 100% mbowe ni tapeli na sio mpinzani kabisa
Poleni watanganyika.
Yaani naona Mwanga mzuri huko mbeleni. Kumbe tulikuwa tunapigwa mabomu tunavunjwa miguu bure kabisa.Nakumbuka Slaa naye ilikuwa hivi hivi wakati anaondoka cdm. Sasa ukweli wa kuwa Mbowe alikuwa nani ndani ya cdm unafahamika. Hongera Lisu kwa kumuumbua Mbowe.
Huyu Mbowe nilimstukia muda mrefu toka ampokee Lowassa kwa njia ya vodafasta na kumpa nafasi ya kugombea urais kupitia cdm. Nilianza kupiga kelele toka wakati ule kuwa hafai tena kuwa mwenyekiti wa cdm.Toka lini watu waliokuwa hawawezi hata kutangaza habari za chama miaka zaidi ya 20 nyuma Leo wanaratibu press ya Mbowe??
Hhapa ndio naamini 100% mbowe ni tapeli na sio mpinzani kabisa
Poleni watanganyika.
Ngoja Tusubiri tuone hii movie π₯ !God is Revealing kila kitu. Chadema kinaenda kuwa chama bora sana.
Sihasa ! π³Yaani naona Mwanga mzuri huko mbeleni. Kumbe tulikuwa tunapigwa mabomu tunavunjwa miguu bure kabisa.
Mwamba anatuchora tu. Tuliweka imani kubwa sana juu yake na uongozi wake.
Ndio ujuwe wako upande uwo mkuuToka lini watu waliokuwa hawawezi hata kutangaza habari za chama miaka zaidi ya 20 nyuma Leo wanaratibu press ya Mbowe??
Hhapa ndio naamini 100% mbowe ni tapeli na sio mpinzani kabisa
Poleni watanganyika.
Ukishaona TBC kwenye shughuli ya chadema basi hakuna kitu hapo tenaToka lini watu waliokuwa hawawezi hata kutangaza habari za chama miaka zaidi ya 20 nyuma Leo wanaratibu press ya Mbowe??
Hhapa ndio naamini 100% mbowe ni tapeli na sio mpinzani kabisa
Poleni watanganyika.
Tumepoteza muda wa kutosha sanaToka lini watu waliokuwa hawawezi hata kutangaza habari za chama miaka zaidi ya 20 nyuma Leo wanaratibu press ya Mbowe??
Hhapa ndio naamini 100% mbowe ni tapeli na sio mpinzani kabisa
Poleni watanganyika.