TBC wanaratibu kila kitu kwenye press ya Mbowe why?

TBC wanaratibu kila kitu kwenye press ya Mbowe why?

Toka lini watu waliokuwa hawawezi hata kutangaza habari za chama miaka zaidi ya 20 nyuma Leo wanaratibu press ya Mbowe??

Hhapa ndio naamini 100% mbowe ni tapeli na sio mpinzani kabisa

Poleni watanganyika.
Ukiahaona kwenye mkutano wa waandishi wa habari kuna hivi hitu viwili, 1. TCB 2. Balile, basi uwe na uhakika kwa 100% huo mkutano una maslahi kwa CCM.
 
Kwani TBC ni mali ya Nani ? Nadhani kuliko kushangaa pale TBC inapoweka Coverage kuhusu mambo ya kijamii inabidi kuwawajibisha na kuwashurutisha pale wasipofanya hivyo...
 
Hawa Tuachane Nao tu.. wanatupotezea muda.
 
acha kelele wewe. kwan tbc sio chombo cha habar
kama kalipa unataka asiwe airtimed?
 
TBC ni chombo cha serikali kilijua na kinajua mbowe ndiye mwenyekiti wa chadema forever
 
Back
Top Bottom