Angalau sasa watu wameacha kukaza fuvu na kuukubali ukweli
Dj kashachukua advance sasa hivi remote ipo kizimkazi
I feel sorry kwa waliomwaga damu kutetea haki huku wakiamini kiongozi wao mkuu yupo pamoja nao
Rasmi wapenda haki waangalie namna ya kuwa na chama kingine kitakachobeba maono ya watanzania