Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
unawezaje kuandaa press conference ya mkurupukaji Kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kwa mfano?Toka lini watu waliokuwa hawawezi hata kutangaza habari za chama miaka zaidi ya 20 nyuma Leo wanaratibu press ya Mbowe??
Hhapa ndio naamini 100% mbowe ni tapeli na sio mpinzani kabisa
Poleni watanganyika.
jitu lipo lipo tu linazurura na standby ticket ya ndege mfukoni,
haijulikani litaongea nini cha maana au litakwea pipa saa ngapi,
press conference kila siku hazina maana yoyote, kichwa wala miguu, unajiandaa vipi sasa gentleman kwa mtu kama huyo wa mambo ya pupa 🐒