TBC yapaswa muwajibike kwa kuruhusu Hotuba ya Slaa inayotetea Ufashisti

Duh alafu bado tunataka Freedom of Speech ?

Issue ni kwamba sio kumruhusu huyo bali na wengine waruhusiwe pia na kuongea kutokana na fikra zao...,

Na sio wakiongea wanajikuta vijijini kwao hawana kazi au hata Nji Jirani kwa Kupewa Kacheo au kutafutiwa kazi Maalumu Ikulu
 
Sema nilichogundua ni kwamba watu wanapenda uhuru wao wa kutoa maoni uheshimiwe ila wao hawawezi kuvumilia wenzao wanapotumia uhuru wao wa kutoa maoni.
 
Umeharibu uliposema Slaa alikuwa katibu mkuu wa chama cha upinzani. Ilipasawa iwe Slaa aliYEwahi kuwa katibu mkuu wa chama cha upinzani akahamia chama tawala na balozi mstaafu.
 
Umeharibu uliposema Slaa alikuwa katibu mkuu wa chama cha upinzani. Ilipasawa iwe Slaa aliYEwahi kuwa katibu mkuu wa chama cha upinzani akahamia chama tawala na balozi mstaafu.
Kasema hana chama
 

Nimeshangaa Sana. Angejikita kwenye mazuri ya Magufuli na kuachana na mengine.
 
Makongamano hayawezi kubadili historia, Magufuli alikuwa kichaa, katili, makabila, muuaji na dikteta, period!
 
Lakini unasahau mama Samia ameruhusu uhuru wa kuongea ili mradi huvunji sheria, Slaa ametumia Uhuru wake hata kama kwa maoni yako na yangu ni rubbish

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Dr slaa ni smart anaongea fact

Wasiotaka Dr slaa amlilie magufuli wafanye sherehe kwa kifo chake
Nchi haiendi mbele kwa mwendo wa pole nguvu inahitajika kama kuna vithibitisho vya magu kuwa fashisti waviweke hadharani
Kwa matrioni ya madeni nchi inayoingiza sasa mradi wa bagamoyo na uzandiki wake .wenye mimba twende shule. Kufunga sabaya na makonda jela mbona haya hamtaki yasemwe

Slaa big up
 

Uko sahihi, ila Slaa hakuondoka cdm kwa sababu ya ujio wa Lowassa, bali aliondoka kwa kuzira baada ya nafasi ya kugombea urais kupewa Lowassa. Kimsingi alitaka yeye ndio awe mgombea wa urais, na ni kweli alistahili. Lakini ukweli unabaki kuwa aliondoka cdm kwa kuzira baada ya nafasi aliyoitaka kupewa mtu mwingine. Hizo nyingine ni mbwembwe tu.
 

Hakukumbuka kuongelea wizi kwenye uchaguzi na utambulisho wa ile task force pendwa ya wasiojulikana?

Hiiiiii bagosha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…