mbatizaji kenzeva
Senior Member
- Aug 13, 2020
- 115
- 78
Mtoa mada mpumbavu magufuli kaacha mazuri mengi sana mnaomchukia ni wezi, kafa juzi tu mijizi imerudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usmati huo aje, doro tu yule hana loloteDr slaa ni smart anaongea fact
Wasiotaka Dr slaa amlilie magufuli wafanye sherehe kwa kifo chake
Hakuna kama JPM Bro. JPM alikuta CCM imepoteza popularity na hata uniform za kijqni zilikuwa hazivaliwi tena maana hakuna mtu alitamani kuzuona. JPM ndiye aliyerudisha CCM hapa ilipo na ka.a hamuamini just wait na mtaona si muda mrwfu. Wa TZ wamebadilika si wa 80. Mama hana jipya. Anatembelea nyota ya JPM. Jipangeni.Nimeisikiliza hotuba ya Dk Slaa kuhusu Legacy ya Magufuli, sikatai kuwa Magufuli ana mambo mazuri na ana legacy yake inayopaswa kuenziwa, lakini alikuwa na mapungufu mengi ambayo hata wana CCM wenyewe wanakubali, na Rais Samia mabye ndiye mwenyekiti wa CCM na Rais kwa sasa anarekebisha mabaya ya Magufuli
Sasa Dk Slaa alipaswa kujikita kwenye m,azuri ya Magufuli na kuyaacha yale mabaya na sio kulazimisha kutetea mabaya
Kwanza kabisa Slaa anaanza kwa kuilamumu Serikali ni kwa nini ilikaa kimya kuhusu Magufuli kuugua, anailamu serikali ya sasa huku akijua Magufuli na serikali yake ndiyo ambayo ilikuwa ikiendesha mambo kwa usiri na propaganda, Serikali yake tunakumbuka ilivyoingiza propaganda nyingi kwenye ugonjwa wa Covid na waliokuwa wakifariki kwa ugonjwa huo walisemwa wamefariki kwa changamoto za kupumua
Slaa anaenda tena kumtetea Magufuli kuhusu mauaji ya watu, na kusema pia mbona Ulaya watu pia wanauawa, sasa Ulaya watu wakiuawa ndio inakuwa excuse ya kuua?
Slaa pia anatetea uamuzi wa Magufuli kuhusu kubambikiza watu kesi na kusema pia kipindi cha Kikwete kuna watendaji wa vijiji walikuwa wakibambikiza watu kesi, jamani baya linahalalisha baya? ameshindwa kujikita tu kuelezea mazuri badala ya kulazimisha kumsafisha?
Slaa ameonekana pia kuunga mkono uamuzi wa Magufuli kuhusu wanafunzi wanaopatga mimba kurudi shule na kusema hata Ulaya walikuwa wanafanya forced sterlization, sasa inahusiana vipi?
Slaa ambaye alikuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Upinzani anasema Magufuli anasemwa alikuwa sio mwanademokrasia lakini alipendwa na wanyonge na hilo ndio la muhimu, kweli? sasa alijiunga na upinzani ya kazi gani kama demokrasia haina umuhimu?
TBC kuweni makini, msomeni Samia kwa sasa anataka nchi yenye amani, siasa safi na maendeleo, ufashiti tulishaachana nao
Kwa hiyo umeamua kunichagulia upade siyo .......!!Angesema mvyotaka nyinyi sisi wenye mtazamo tofauti na nyinyi tungemponda pia, kwahiyo kila mtu asimamie anachoamini.
Peleka visasi vyenu huko huko Machame.Nimeisikiliza hotuba ya Dk Slaa kuhusu Legacy ya Magufuli, sikatai kuwa Magufuli ana mambo mazuri na ana legacy yake inayopaswa kuenziwa, lakini alikuwa na mapungufu mengi ambayo hata wana CCM wenyewe wanakubali, na Rais Samia mabye ndiye mwenyekiti wa CCM na Rais kwa sasa anarekebisha mabaya ya Magufuli
Sasa Dk Slaa alipaswa kujikita kwenye m,azuri ya Magufuli na kuyaacha yale mabaya na sio kulazimisha kutetea mabaya
Kwanza kabisa Slaa anaanza kwa kuilamumu Serikali ni kwa nini ilikaa kimya kuhusu Magufuli kuugua, anailamu serikali ya sasa huku akijua Magufuli na serikali yake ndiyo ambayo ilikuwa ikiendesha mambo kwa usiri na propaganda, Serikali yake tunakumbuka ilivyoingiza propaganda nyingi kwenye ugonjwa wa Covid na waliokuwa wakifariki kwa ugonjwa huo walisemwa wamefariki kwa changamoto za kupumua
Slaa anaenda tena kumtetea Magufuli kuhusu mauaji ya watu, na kusema pia mbona Ulaya watu pia wanauawa, sasa Ulaya watu wakiuawa ndio inakuwa excuse ya kuua?
Slaa pia anatetea uamuzi wa Magufuli kuhusu kubambikiza watu kesi na kusema pia kipindi cha Kikwete kuna watendaji wa vijiji walikuwa wakibambikiza watu kesi, jamani baya linahalalisha baya? ameshindwa kujikita tu kuelezea mazuri badala ya kulazimisha kumsafisha?
Slaa ameonekana pia kuunga mkono uamuzi wa Magufuli kuhusu wanafunzi wanaopatga mimba kurudi shule na kusema hata Ulaya walikuwa wanafanya forced sterlization, sasa inahusiana vipi?
Slaa ambaye alikuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Upinzani anasema Magufuli anasemwa alikuwa sio mwanademokrasia lakini alipendwa na wanyonge na hilo ndio la muhimu, kweli? sasa alijiunga na upinzani ya kazi gani kama demokrasia haina umuhimu?
TBC kuweni makini, msomeni Samia kwa sasa anataka nchi yenye amani, siasa safi na maendeleo, ufashiti tulishaachana nao
Tatizo mlilo nalo ni mtazamo binafsi mnashindwa ku-accommodate mawazo ya wengine yenu ndiyo sahihi ya wengine hapana.
Dr. Slaa ametoa ufafanuzi na kutoa mifano sio kwamba analinganisha mimi nimemuelewa na yuko sahihi.
Mimi sio Chadema ndugu, usiwe na fikra nyembamba hivyoPeleka visasi vyenu huko huko Machame.
Msilazimishe watu wote tufikirie kama nyinyi!
TBC ni idhaa ya Taifa kwa watanzania wote.
Kwani ni uongo ugonjwa wa JPM haukufichwa isipokuwa kwa Marope Kigogo14 tu?
Siasa za chuki zinawaumiza sana chadema .
Acheni watu wawe huru kuongea kile wanachokiwaza na kukisimamia.
Mbona mkiongea haki na Domokrasia mnatoa mifano ya huko huko ulaya.
Bosi wenu anatunzwa hukohuko ulaya.
Ila akitamka hasimu wenu Dk Slaa, Ulaya inageuka kuwa inatuhusu nini?
Acha kuwaza kwa kutumia Ulimi wewe mzee wa CHASAKA.
[emoji3090]Utakonda kwa roho mbaya [emoji419]
Mtoeni madarani basi kama hana jipyaHakuna kama JPM Bro. JPM alikuta CCM imepoteza popularity na hata uniform za kijqni zilikuwa hazivaliwi tena maana hakuna mtu alitamani kuzuona. JPM ndiye aliyerudisha CCM hapa ilipo na ka.a hamuamini just wait na mtaona si muda mrwfu. Wa TZ wamebadilika si wa 80. Mama hana jipya. Anatembelea nyota ya JPM. Jipangeni.
Chuki itakuua kabla ya siku yako.Nimeisikiliza hotuba ya Dk Slaa kuhusu Legacy ya Magufuli, sikatai kuwa Magufuli ana mambo mazuri na ana legacy yake inayopaswa kuenziwa, lakini alikuwa na mapungufu mengi ambayo hata wana CCM wenyewe wanakubali, na Rais Samia mabye ndiye mwenyekiti wa CCM na Rais kwa sasa anarekebisha mabaya ya Magufuli
Sasa Dk Slaa alipaswa kujikita kwenye m,azuri ya Magufuli na kuyaacha yale mabaya na sio kulazimisha kutetea mabaya
Kwanza kabisa Slaa anaanza kwa kuilamumu Serikali ni kwa nini ilikaa kimya kuhusu Magufuli kuugua, anailamu serikali ya sasa huku akijua Magufuli na serikali yake ndiyo ambayo ilikuwa ikiendesha mambo kwa usiri na propaganda, Serikali yake tunakumbuka ilivyoingiza propaganda nyingi kwenye ugonjwa wa Covid na waliokuwa wakifariki kwa ugonjwa huo walisemwa wamefariki kwa changamoto za kupumua
Slaa anaenda tena kumtetea Magufuli kuhusu mauaji ya watu, na kusema pia mbona Ulaya watu pia wanauawa, sasa Ulaya watu wakiuawa ndio inakuwa excuse ya kuua?
Slaa pia anatetea uamuzi wa Magufuli kuhusu kubambikiza watu kesi na kusema pia kipindi cha Kikwete kuna watendaji wa vijiji walikuwa wakibambikiza watu kesi, jamani baya linahalalisha baya? ameshindwa kujikita tu kuelezea mazuri badala ya kulazimisha kumsafisha?
Slaa ameonekana pia kuunga mkono uamuzi wa Magufuli kuhusu wanafunzi wanaopatga mimba kurudi shule na kusema hata Ulaya walikuwa wanafanya forced sterlization, sasa inahusiana vipi?
Slaa ambaye alikuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Upinzani anasema Magufuli anasemwa alikuwa sio mwanademokrasia lakini alipendwa na wanyonge na hilo ndio la muhimu, kweli? sasa alijiunga na upinzani ya kazi gani kama demokrasia haina umuhimu?
TBC kuweni makini, msomeni Samia kwa sasa anataka nchi yenye amani, siasa safi na maendeleo, ufashiti tulishaachana nao
Halafu Padre
Hayo mazuri ameyafanyia chooni??, Kuuwa watu, kuteka watu, kupandikiza chuki au kutengeneza majambazi kama sabaya??.Wee unadhan ulichokiandika hapa na unachopingana nacho , kimetoka kwenye akili iliyo huru, au akili yenye Njaa??
Kuna Rais ambaye amewahi kukubalikana kama JPM?
Kuna Rais aliyefanya mazuri Makubwa ,yalisadikika Yakaonekana kama JPM??
Leo hii SERIKALI YA SAMIA , inatuambia Mto Mara umechafuliwa na Kinyesi ???
Na bado unaleta upuuzi hapa wakusema 'Samia anafukia mabaya'.
Shame on you !!!.
Kusema wazi kuwa haujapendezwa na alichokisema ni kujitangaza upande uliopo, mimi sihusiki katika hilo.Kwa hiyo umeamua kunichagulia upade siyo .......!!
Hakuna mahali niliposema hivyo. Labda umechanganya na mleta mada .... nilichouliza ni kama umemsikiliza.Kusema wazi kuwa haujapendezwa na alichokisema ni kujitangaza upande uliopo, mimi sihusiki katika hilo.
Na huyu mpuuzi ndiye nilimpigia kura awe rais wa TanzaniaNimeisikiliza hotuba ya Dk Slaa kuhusu Legacy ya Magufuli, sikatai kuwa Magufuli ana mambo mazuri na ana legacy yake inayopaswa kuenziwa, lakini alikuwa na mapungufu mengi ambayo hata wana CCM wenyewe wanakubali, na Rais Samia mabye ndiye mwenyekiti wa CCM na Rais kwa sasa anarekebisha mabaya ya Magufuli