TBC yapaswa muwajibike kwa kuruhusu Hotuba ya Slaa inayotetea Ufashisti

Mtoa mada mpumbavu magufuli kaacha mazuri mengi sana mnaomchukia ni wezi, kafa juzi tu mijizi imerudi
 
Hakuna kama JPM Bro. JPM alikuta CCM imepoteza popularity na hata uniform za kijqni zilikuwa hazivaliwi tena maana hakuna mtu alitamani kuzuona. JPM ndiye aliyerudisha CCM hapa ilipo na ka.a hamuamini just wait na mtaona si muda mrwfu. Wa TZ wamebadilika si wa 80. Mama hana jipya. Anatembelea nyota ya JPM. Jipangeni.
 
Hakupaswa kuzira,kudhoofisha Mapambano.
Ayaa kapewa ubalozi,vijisenti,atulie
Sasa anang'aka nini,7bu kapewa mgongo,dhambi iendelee tu kumla
Ana Nini sasa kipya?,unaweza kumuweka medani moja na Freeman kisiasa kwa sasa..Atulie aje kula pensheni yake ya Ubalozi
 
Tutafuteni pesa! Maisha ya kutegemea ajira ukipigwa chini lazima upate hasira sana!
Ona Dr.Slaa anavyotema moto na vitu irrelevant! Njaa imeanza kumtandika na hana Cashflow!
 
Peleka visasi vyenu huko huko Machame.

Msilazimishe watu wote tufikirie kama nyinyi!

TBC ni idhaa ya Taifa kwa watanzania wote.

Kwani ni uongo ugonjwa wa JPM haukufichwa isipokuwa kwa Marope Kigogo14 tu?

Siasa za chuki zinawaumiza sana chadema .

Acheni watu wawe huru kuongea kile wanachokiwaza na kukisimamia.

Mbona mkiongea haki na Domokrasia mnatoa mifano ya huko huko ulaya.

Bosi wenu anatunzwa hukohuko ulaya.

Ila akitamka hasimu wenu Dk Slaa, Ulaya inageuka kuwa inatuhusu nini?

Acha kuwaza kwa kutumia Ulimi wewe mzee wa CHASAKA.

[emoji3090]Utakonda kwa roho mbaya [emoji419]
 
Tatizo mlilo nalo ni mtazamo binafsi mnashindwa ku-accommodate mawazo ya wengine yenu ndiyo sahihi ya wengine hapana.

Dr. Slaa ametoa ufafanuzi na kutoa mifano sio kwamba analinganisha mimi nimemuelewa na yuko sahihi.

Tatizo ulinonalo ni kunusa ushuzi na kujidanganya ni marashi.
 
Mimi sio Chadema ndugu, usiwe na fikra nyembamba hivyo
 
Mtoeni madarani basi kama hana jipya
Anzisheni chama chenu tofauti na CCM mumtoe nacho Samia madarakani
 
Jamani nchi hii ni yetu sote....kila MTU ana Uhuru wake. Tuacheni tumlilie magufuli. Wote tunamsupport Rais samia lakini ni kiongozi aliyetutelekeza ili kila MTU atapakae kivyak

Kwani Rais samia anaishi wapi asijue hali halisi ya maisha ya mtanzania wa kawaida yalivyo...?

Kwa sasa Rais samia ajue yeye tu na watumishi wake ndio wanakunywa chai na vitafunwa.....

Kwa sasa Rais samia ajue ni yeye tu na kundi dogo LA watu ndio wanaweza kujenga nyumba za kudumu.

Kwa sasa Rais samia ajue Tanzania nzima ni yeye na baadhi ya watumishi ndio wanakula mboga zilizotiwa mafuta.

Kwa sasa Rais samia ajue ni yeye tu na serikali yake ndio wanaweza kujaza mafuta full tank.

Kwa sasa Rais samia ajue wananchi wote tunaumwa mawazo ispokuwa yeye na watendaji wake.

Yapo mengi.....mengi sana ambayo laiti angekuwepo magufuli angeyasuluhisha hata kama ni mabavu.

Naomba niishie hapa ili niendelee kumlilia Hayati.
 
Chuki itakuua kabla ya siku yako.
 
Slaa na JPM ni kitu kimoja

Chadema enzi za Ukatibu wa Dr. Slaa ilikuwa kipindi hatare sana
Ndio kipindi hicho hicho Dunia ilimpoteza Hayati kamanda Chacha Wangwe na kipindi hicho hicho Zitto Kabwe aliokolewa kwenye Tundu la Sindano na kupitia Hayati Amina Chifupa kutokana na ugomvi wa kugombea Madaraka ndani ya Chadema
 
Wee unadhan ulichokiandika hapa na unachopingana nacho , kimetoka kwenye akili iliyo huru, au akili yenye Njaa??


Kuna Rais ambaye amewahi kukubalikana kama JPM?

Kuna Rais aliyefanya mazuri Makubwa ,yalisadikika Yakaonekana kama JPM??

Leo hii SERIKALI YA SAMIA , inatuambia Mto Mara umechafuliwa na Kinyesi ???

Na bado unaleta upuuzi hapa wakusema 'Samia anafukia mabaya'.


Shame on you !!!.
 
Anatafuta ugali huyo, wenzake wanasifia aliye hai yeye anasifia aliyekufa!!.
 
Hayo mazuri ameyafanyia chooni??, Kuuwa watu, kuteka watu, kupandikiza chuki au kutengeneza majambazi kama sabaya??.

Development should be people centered na sio upuuzi. Aliua ustawi wa watu kwa kisingizio Cha kujenga fly over!! Puaaaaa puawaaaa kabisa.
 
Kusema wazi kuwa haujapendezwa na alichokisema ni kujitangaza upande uliopo, mimi sihusiki katika hilo.
Hakuna mahali niliposema hivyo. Labda umechanganya na mleta mada .... nilichouliza ni kama umemsikiliza.

Nitacomment nikisikiliza clip yake ....!!
 
Na huyu mpuuzi ndiye nilimpigia kura awe rais wa Tanzania
Nimekosa mimi*3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…