TBC yapaswa muwajibike kwa kuruhusu Hotuba ya Slaa inayotetea Ufashisti

Mag acha ujinga wewe.Magufuli ndiyealiyesema kuwa nikiumwa wambie watanzania niko kuchapa kazi? na wakati kuo yawezekana alikuwa tiari kwenye frigde mortuary.bora ukanyamaza aisee.
 
Kweli maneno hayo yametoka kwa Dr. W. Slaaa siamini?!
 
Sikuwahi kujua kama Slaa ni emptu head namna hii hadi niliposikia leo. Huyu jamaa ni bora alihama CHADEMA. Alikuwa bomu linalosubiri kulipuka.
 
Huoni hata maneno yako yanapwaya hapa? Ni bora kunyamaza katika wakati huu ukweli unapokuwa dhahiri.
 
Hicho kizee akili zimelegea.
 
Si mnataka democrasia? Si mnataka uhuru wa maoni? Sasa mmeanza kuchagua watu watoe maoni gani? Mnataka kusikia mnachotaka tu? Mnapigania uhuru gani wa maoni? Vipi mnajua mnapigania nini?
 
Si mnataka democrasia? Si mnataka uhuru wa maoni? Sasa mmeanza kuchagua watu watoe maoni gani? Mnataka kusikia mnachotaka tu? Mnapigania uhuru gani wa maoni? Vipi mnajua mnapigania nini?
Tunakubali ni maoni yake, ni uhuru wake lkn tunayapinga kuwa ni mpotoshaji.... Ni hivyo...

Tatizo liko wapi? Kukubaliana sio lazima, ila kusikilizana ndio muhimu.

Tumemsikia wacha tuchambue maoni yake
 
Nimesikia mahali kulikuwa na Kongamano Serena Hotel hapa Dar kuenzi kuwepo fikra za Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere takriban miaka 100 hapa Tanzania tangu mwaka 1922. Kwa jinsi Nyerere alivyokuwa mkweli sidhani kama angekubaliana na hoja ya Slaa. Aidha sidhani kama Nyerere angeruhusu hayo waliyofanya Magufuli, Makonda, Sabaya na wengine bila ama kuwaadabisha au kuachana na CCM maana waliyofanya hayakufuata Katiba wala haikuwa ndiyo maana ya kutaka kujitawala! Kama kweli Slaa anasema Magufuli alikuwa anapendwa na wanyonge na hiyo ndiyo sababu ya kuruhusu jinai basi hajaelewa dhana ya kisiasa iliyomwezesha mtu kama Trump kuchaguliwa Marekani au Uingereza kupitisha Brexit, maamuzi ambayo ingawa wengi ndiyo wameyapitisha lakini kura ilikuwa mawazo ya jadi ya vyama vyote vikuu katika nchi husika ambavyo vimekuwa vikibadilishana kutawala bila kufanya mabadiliko ya msingi kwa wananchi wa kawaida, hususan "middle class". Na akina Magufuli pia wakaja na hoja ya wanyonge na mafisadi ili kuungwa mkono vitendo ambavyo vinaturudisha nyuma kama taifa, kwa mfano kuuwa upinzani! Slaa haoni?
 
Tunakubali ni maoni yake, ni uhuru wake lkn tunayapinga kuwa ni mpotoshaji.... Ni hivyo...

Tatizo liko wapi? Kukubaliana sio lazima, ila kusikilizana ndio muhimu.

Tumemsikia wacha tuchambue maoni yake
Kupingana ni sawa, ila sio kutaka TBC wawajibishwe blah blah! Hoja na uhuru wa maoni uendelee ..
 
Mnataka Demokrasia ya mtu kusema mnachokifurahia tu kimtazamo Wenu 🤣
 
Pole Sana Kwa wivu wa kijinga Kwa Dr Slaa
 
Si mnataka democrasia? Si mnataka uhuru wa maoni? Sasa mmeanza kuchagua watu watoe maoni gani? Mnataka kusikia mnachotaka tu? Mnapigania uhuru gani wa maoni? Vipi mnajua mnapigania nini?
Sisi tupo huru kupinga,hasa upotoshaji wa kiwango hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…