TBC yapaswa muwajibike kwa kuruhusu Hotuba ya Slaa inayotetea Ufashisti

Kaongea yote hayo hakuna analosingiziwa.
 
Serikali kuuwa critics ni Jambo lisilo kwepeka hata sasa watu wanakufa tu.
 
Do you realize that infringing on other people’s freedom of expression by itself is an element of dictatorship? Demokrasia unayoitetea ndiyo imekupa wewe haki ya kuwanyima wengine freedom of expression?
 
Uamuzi wa lilio baya au zuri ni maamuzi ya mtu binafsi.tusipende kugeneralize mambo kwa vionjo binafsi...serikali hii ni wazi na inatetea uhuru wa maoni mbona wewe unataka kuipeleka kusiko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeichambua kiupande mmoja.
 
Mtoa post siku ya leo ulikuwa wapi! Naona unachuki na jpm kumbuka alishaondoka na siku yaleo ni siku ambayo alilala kwenye nyumba yake ya milele hawezi kuamka na kujitetea hata ungesemaje!
 
Mtoa post siku ya leo ulikuwa wapi! Naona unachuki na jpm kumbuka alishaondoka na siku yaleo ni siku ambayo alilala kwenye nyumba yake ya milele hawezi kuamka na kujitetea hata ungesemaje!
Ya leo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…