Tetesi: TBC1 kuripoti live MATOKEO uchaguzi Mkuu Marekani

Tetesi: TBC1 kuripoti live MATOKEO uchaguzi Mkuu Marekani

kwani kuna ubaya gani hata citizen tv, BCC, Al Jazeera, zbc, DW, RT na vituo vinginevyo vya television vikitangaza matokeo ya uchaguzi huo muhimu sana wa marikani mapema wiki kesho?🐒
Alafu siku ya uchaguzi mkuu wa Tanzania wanaweka taarab...TBC kuna wapuuzi wengi sana.
 
Alafu siku ya uchaguzi mkuu wa Tanzania wanaweka taarab...TBC kuna wapuuzi wengi sana.
Tv stations zingine sizitaonyesha gentleman?

na wew si miongoni mwa mliosusa kutazama TBC, na hizo taarabu umezionaje gentleman 🐒

au ndio ile unaikubali kiaina...
 
Tv stations zingine sizitaonyesha gentleman?

na wew si miongoni mwa mliosusa kutazama TBC, na hizo taarabu umezionaje gentleman 🐒

au ndio ile unaikubali kiaina...
Watanganyika wamejaa ghilba na unafiki
 
Itangazwe sikukuu ya kitaifa kabisa siku hiyo tushinde nyumbani tunaangalia matokeo.

Trump hoyeee
 
Hii ndio inaitwa, nyani haoni kundule....😜
 
Kama itakuwa kweli ni aibu tu, marekani uchaguzi wake sisi unatuhusu nini kama taifa?, kwahiyo wakirusha live na kuona nani kashinda Kuna tuzo gani tunapata?, tufanye mambo kwaajili ya changamoto zetu na mambo yetu, tuna mambo kibao ya kuibua Ili watz waone na yatatuliwe... Huo utakuwa ni uoga, kujishobokesha na kutojiamini.
 
Sasa watajua hayo matokeo kwa lugha gani. Maana TBC imeajiri mambumbu tupu.
 
Katika kuendeleza kufungua nchi. Waandishi wa TBC1 wapo Washington tayari Kwa ajili ya kuripoti MATOKEO ya uchaguzi Mkuu nchini humo.

Sasa nchi inafunguliwa vipi kwa watu kutimiza majukumu yao?
 
Back
Top Bottom