MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Kitesa kwa zamu.Katika kuendeleza kufungua nchi. Waandishi wa TBC1 wapo Washington tayari Kwa ajili ya kuripoti MATOKEO ya uchaguzi Mkuu nchini humo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitesa kwa zamu.Katika kuendeleza kufungua nchi. Waandishi wa TBC1 wapo Washington tayari Kwa ajili ya kuripoti MATOKEO ya uchaguzi Mkuu nchini humo.
Hizi tv nikama wehu,Tv ya wapumbavu wajinga kabisa 2025 mtatangaza ya ccm tu ila kwa nchi za wenzenu mko kimbelembele.
Katika kuendeleza kufungua nchi. Waandishi wa TBC1 wapo Washington tayari Kwa ajili ya kuripoti MATOKEO ya uchaguzi Mkuu nchini humo.
Hii ni ajabu Sana. Ya kwao hapa Tanzania yamewashinda, Je, wataweza ya huko Marekani??Washenzi hawa
Bunge lime washinda kutangaza ati wata tangaza live uchaguzi wa Marekani
Alaf uchaguzi wa Tanzania wanazima internet na hawatasoma heading za magazeti yenye habari za CDM
Ni upuuzi tupu.Posho hamna chochote Kama kwao wameshindwa kutangaza habari za uchaguzi kwa haki huko kinawapeleka Nini.
Hii inaweza kuwa na msaada kwetu?? Wakitoka hapo wakekuripot uchaguzi wetu wa TAmisemi live,,,,,,Katika kuendeleza kufungua nchi. Waandishi wa TBC1 wapo Washington tayari Kwa ajili ya kuripoti MATOKEO ya uchaguzi Mkuu nchini humo.
Hawaoni hata aibu kutangaza uchaguzi wa USA 🇺🇸 live ila wa Tanzania hawajawahi kuutangaza live 😄 🤣 😂 😆Hii ni ajabu Sana. Ya kwao hapa Tanzania yamewashinda, Je, wataweza ya huko Marekani??
Ni upuuzi tupu.
Fedha za Serikali au Fedha za Wananchi Walipakodi wa Tanzania???NI MATUMIZI MABAYA YA FEDHA ZA SERIKALI,,
wagundue niniKwani USA huwa wanareport live matukio ya uchaguzi Tanzania?
Katika kuendeleza kufungua nchi. Waandishi wa TBC1 wapo Washington tayari Kwa ajili ya kuripoti MATOKEO ya uchaguzi Mkuu nchini humo.