Tetesi: TBC1 kuripoti live MATOKEO uchaguzi Mkuu Marekani

Tv ya wapumbavu wajinga kabisa 2025 mtatangaza ya ccm tu ila kwa nchi za wenzenu mko kimbelembele.
 
Cha msingi wajifunze nmna Gani chaguzi za wakubwa zinaendeshwa sio ubabaishaji huu .
 
Katika kuendeleza kufungua nchi. Waandishi wa TBC1 wapo Washington tayari Kwa ajili ya kuripoti MATOKEO ya uchaguzi Mkuu nchini humo.
Washenzi hawa
Bunge lime washinda kutangaza ati wata tangaza live uchaguzi wa Marekani
Hii ni ajabu Sana. Ya kwao hapa Tanzania yamewashinda, Je, wataweza ya huko Marekani??

Alaf uchaguzi wa Tanzania wanazima internet na hawatasoma heading za magazeti yenye habari za CDM
Posho hamna chochote Kama kwao wameshindwa kutangaza habari za uchaguzi kwa haki huko kinawapeleka Nini.
Ni upuuzi tupu.
 
Katika kuendeleza kufungua nchi. Waandishi wa TBC1 wapo Washington tayari Kwa ajili ya kuripoti MATOKEO ya uchaguzi Mkuu nchini humo.
Hii inaweza kuwa na msaada kwetu?? Wakitoka hapo wakekuripot uchaguzi wetu wa TAmisemi live,,,,,,
 
Ai
Hii ni ajabu Sana. Ya kwao hapa Tanzania yamewashinda, Je, wataweza ya huko Marekani??

Ni upuuzi tupu.
Hawaoni hata aibu kutangaza uchaguzi wa USA πŸ‡ΊπŸ‡Έ live ila wa Tanzania hawajawahi kuutangaza live πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜†
 
Ikifika uchaguzi wa Tanzania wananshirikiana na CCM kutangaza matokeo ya wizi ya CCM . Nakumbuka 2020 walivyofanya. Walaaniwe milele.
 
Wasafi TV ndio wanaweza kuchukia maana Marekani ndio eneo lao la kujidai TV nyingine wamewazoea
 
Kwani USA huwa wanareport live matukio ya uchaguzi Tanzania?
 
Katika kuendeleza kufungua nchi. Waandishi wa TBC1 wapo Washington tayari Kwa ajili ya kuripoti MATOKEO ya uchaguzi Mkuu nchini humo.

Seriously..!? Matumizi mabaya ya Kodi za Wananchi.
 
Ni sawa nq kukuna kwapa la jirani ukaacha lako linalowasha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…