Hahahaaaaaaaa wee jamaaa duuuuuuuuuu yaani mpaka pilau[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hamna shida mm nitaangalia tu Supersport Tbc1 siwezi angalia labda waanze kuonesha X
TBC 1 Hapana Matangazo yanaweza kukatika mara iingie hotuba.
Hapana kwa kweli.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hapana ndio maana nazidi kusema Hapana.Hahahaha
Rais kapiga Ziara ya kustukiza Bandari wakuache unaangalia Uruguay vs Paraguay hahaha
Greyson Msigwa atatinga Studio Na bodaboda
Pole mkuuHawa watu wa ajabu sana. Juzi tuu kulikuwa na mashindano ya Jumuia ya madola ambayo kuna wawakilishi wetu tulitakiwa tuwaone ili tujitathmini kuna mapungufu gani ili tujirekebishe lakini hakuna Tv hata moja iliyoonyesha mashindano hayo. Sasa haya ambayo hakuna hata mwakilishi hata mmoja kutoka afrkia mashariki ndio wanajua kuna michezo??? Mimi kuanzia leo nazima TV ili nipeleke ujumbe wa kupinga jinsi tunavyogandamiza michezo mingine ambayo sii soka na kushadadia soka hata kama hatunma washiriki.
TBC 1 na TV 1 watakuwa live bila chenga mechi zote 32 mtaziona bure kabisa bila kulipia chochote. Dr Leakey na Mwl Kashasha watakuwepo.
Full burudani
Karibuni sana Russia world cup 2018
Hawa watu wa ajabu sana. Juzi tuu kulikuwa na mashindano ya Jumuia ya madola ambayo kuna wawakilishi wetu tulitakiwa tuwaone ili tujitathmini kuna mapungufu gani ili tujirekebishe lakini hakuna Tv hata moja iliyoonyesha mashindano hayo. Sasa haya ambayo hakuna hata mwakilishi hata mmoja kutoka afrkia mashariki ndio wanajua kuna michezo??? Mimi kuanzia leo nazima TV ili nipeleke ujumbe wa kupinga jinsi tunavyogandamiza michezo mingine ambayo sii soka na kushadadia soka hata kama hatunma washiriki.
Ninyi ndio wale wale mlioleta umaskini nchini. Nasisitiza tena mpira wa miguu ni chanzo kikubwa cha umaskini wa kifikra na mali kwa watanzaniaHuna TV, hizo ni swaga za kujifanya eti ulizima TV.
Wewe utakuwa na Kisonono cha Akili, Mpira umeleta Umasikini hapa Nchini?Ninyi ndio wale wale mlioleta umaskini nchini. Nasisitiza tena mpira wa miguu ni chanzo kikubwa cha umaskini wa kifikra na mali kwa watanzania