TBC1 kushirikiana na TV1, Kuonesha Bure Kombe la Dunia Russia 2018

oyoooooooooooooooooooooooooooooo wazeee wa free hapa tbc ndio nawapenda
 
Aksante Ndugu Rais

Nimeokoa Laki Na elf 9 kwenda kuwalipa Mabepari Na Majambazi wa DSTV

Ingekuwa amri yangu Magu angetawala mpaka afikie Umri wa Mzee Ruksa
 
Hawa watu wa ajabu sana. Juzi tuu kulikuwa na mashindano ya Jumuia ya madola ambayo kuna wawakilishi wetu tulitakiwa tuwaone ili tujitathmini kuna mapungufu gani ili tujirekebishe lakini hakuna Tv hata moja iliyoonyesha mashindano hayo. Sasa haya ambayo hakuna hata mwakilishi hata mmoja kutoka afrkia mashariki ndio wanajua kuna michezo??? Mimi kuanzia leo nazima TV ili nipeleke ujumbe wa kupinga jinsi tunavyogandamiza michezo mingine ambayo sii soka na kushadadia soka hata kama hatunma washiriki.
 
Hahahaha

Rais kapiga Ziara ya kustukiza Bandari wakuache unaangalia Uruguay vs Paraguay hahaha

Greyson Msigwa atatinga Studio Na bodaboda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hapana ndio maana nazidi kusema Hapana.

Ngoja Niendelee kutoa sadaka kwenye mabanda umiza.
 
Hawa watu wa ajabu sana. Juzi tuu kulikuwa na mashindano ya Jumuia ya madola ambayo kuna wawakilishi wetu tulitakiwa tuwaone ili tujitathmini kuna mapungufu gani ili tujirekebishe lakini hakuna Tv hata moja iliyoonyesha mashindano hayo. Sasa haya ambayo hakuna hata mwakilishi hata mmoja kutoka afrkia mashariki ndio wanajua kuna michezo??? Mimi kuanzia leo nazima TV ili nipeleke ujumbe wa kupinga jinsi tunavyogandamiza michezo mingine ambayo sii soka na kushadadia soka hata kama hatunma washiriki.
Pole mkuu
 
Huna TV, hizo ni swaga za kujifanya eti ulizima TV.
 
Back
Top Bottom