TBC1 kushirikiana na TV1, Kuonesha Bure Kombe la Dunia Russia 2018

Mi nataka warushe Bunge tu, world cup na dstv apa inanitosha.
 
kuna ka igizo naangalia hapa muda huu ina scratch kama mtandao wa tigo tuna stream live kupitia tecno p5
 
Bunge live vipi ??
 
Watakuwa wanachaguaa match awawezi onyeahaaa match zote uwezo huooo awana... Msitudanganye hata kidogo nyie vitonga
 
Aksante Ndugu Rais

Nimeokoa Laki Na elf 9 kwenda kuwalipa Mabepari Na Majambazi wa DSTV

Ingekuwa amri yangu Magu angetawala mpaka afikie Umri wa Mzee Ruksa
pumbavu kabisa..tatizo lako umeangalia leo yako bila kuangalia kesho yako ,ya mtoto wako ,ya mjukuu wako na hata ya kitukuu chako....
 
Aksante Ndugu Rais

Nimeokoa Laki Na elf 9 kwenda kuwalipa Mabepari Na Majambazi wa DSTV

Ingekuwa amri yangu Magu angetawala mpaka afikie Umri wa Mzee Ruksa
Hujalazimishwaa kuwa nayo watu wengine bwana ukute hata huna
 
TBC 1 na TV 1 watakuwa live bila chenga mechi zote 32 mtaziona bure kabisa bila kulipia chochote. Dr Leakey na Mwl Kashasha watakuwepo.

Full burudani

Karibuni sana Russia world cup 2018
Ni mchambuzi mzuri sana ila apunguze Konyagi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…