Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kamanda wewe hufanyi kazi yoyote ?????? ukiamka asubuhi tu unakaa kuangalia bunge kutwa nzima? ? kama ni hivyo basi hutakaa uendelee. na kama si hivyo basi tuambie asilimia ngapi ya wanaobaki majumbani wanaangalia kwa wakati wote na ukilinganisha sasa na thamani au gharama ya hela TBC inayoingia. ???Kweli tunaisoma namba,huu ni udikteta wa hali ya Juu..
kamanda nashauri utoe ushauri wa vyanzo vya mapato ambavyo vitaendelea kutufanya tutumie bilioni hizo kwa mwaka ili tu enjoy matangazo ya bunge.Tulishasema Tanzania hakina Demokrasia na kujishau tu hamkutuelewa. Sasa mnaona CCM inakotupeleka?
Dunia ya leo magazeti wapi na wapi wewe, huko nchi zilizoendelea hayana soko mpaka yanagawiwa bure. We dont like hearsay, tunataka tuone live. Jamani mnaona nyie mnaoichagua ccm imeota mapembe ya sheitwani.Hata wakisimama bungeni na kuimba kupinga,haisaidii kitu maana hakuna anaewaona,bora hawa wauza sura wawe wapole na wafanye kazi,zama za kuuza nyago zimepita.
Kwa upande mwingine hii ni neema kwa wamiliki wa magazeti,kwani sasa mauzo lazima yapae juu
Umeambiwa sasa sio KAZI TU bali ni HOFU TU ya Pombe.Poleni sana wakuu naona nape kawatouch sana,lakini nahakika sio uamzi wake pekee.
Zama za kuuza sura kwenye luninga zimepita,NI KAZI TU
kamanda jitahidi ulipe kodi kwa bidii ili tuijengee uwezo TBC.Hii nayo kali aisee
Nmemsikiliza nkachoka
Tv ya Taifa inashindwa kurusha matangazo ya bunge kweli
Hapana aisee hii serikali yaanza nitia shaka
Bila Tv nisingemjua Deo. Nisingeona anavyopendwa na wananchi wake. Bila tv nisingeona ziara za kushtukiza za Rais na mawaziri wake, bila tv nisingeona watu wanatumbuliwa majipu na kudhalilishwa hadharani, bila tv nisingemwona Nape escape 1 akipiga gitaa na kuimba. Hao wote ilikuwa sehemu ya kazi, wengine wanatafuta umaarufu. Nimekuelewa mkuu.NAYASEMA HAYA BAADA YA KUGUNDUA WATANCHI TUNAKOSEA KUWACHAGUA WAWAKILISHI WETU BUNGE ,TUNACHAGUA MAVUVUZELA BUNGENI NA WANAOTAFUTA KUONEKANA BUNGENI ILI KUPATA UMAARUFU MAJIMBONI BADALA YA KUWATUMIKIA WANANCHI,
USHAIDI UPO
MFANO HAKUNA MBUNGE AMBAYE AMEJITOKEZA WAZI KUPELEKA HOJA BINAFSI YENYE MASLAI JIMBONI KWAKE ADI SASA, WENGI BADALA YA KUWATUMIKIA WANACHI MAJIMBONI WAMAJIKITA KUPATA SIFA BUNGENI TU,
NAWAKUMBUSHA,ILI BAADA YA KUONA LEO WABUNGE WENGI AKILI ZAO ZIMEJIKITA KWENYE MATANGAZO YA BUNGE AUBUHI KWA KINGEZO CHA WANANCHI KUWAPA HAKI YAO KURIKO WAO KUTOKUTIMIZA HAKI HIYO YA KUWATUMIKIA IPASAVYO WANANCHI,
MAREHEMU
DEO FILIPO LUNJOMBE ALIYEKUWA MBUNGE WA LUDEWA ALIKUWA MBUNGE MWENYE KUJILIKANA SANA NA HESHIMA KUBWA ALIYOIPATA KWA KUFANYA KAZI NA KUWATUMIKIA WANANCHI WAKE JIMBONI KURIKO KUTENGEMEA UMAARUFU WA KWENYE TV ,USIO NA FAIDA KWA WANANCHI MASIKINI,
WABUNGE WOTE ACHANA NA SIFA ZA KWENYE TV JIFUNZE KWA DEO,
Mimi naona ni maamuzi ya busara sana tena sana maana kuna watu hakuna jambo la msingi lakini linaoneshwa live hivyo pesa inatumika bure tuu!
Pia kuonesha bunge live kulikuwa kuna changia vurugu bungeni maana kuna watu wanaligeuza bunge kama sehemu ya kujipatia umaarufu na wengine wanaona ndio sehemu ya kufanyia uhuni!
Sioni sababu ya msingi ya kuonesha bunge live ikiwa kuna kipindi jioni cha bungeni leo!
Mimi napendekeza hata TV binafsi zipigwe marufuku kuonesha bunge live na wafate maelekezo ya TBC na wawe wanachukua kupitia TBC!
Najua hili ni pigo kwa UKAWA kwani wamezoea kufanya vurugu wakijua wanaonekana live.....
Mkuu The boss, siku zote kumbuka hili; kuna tofauti kati ya aliyesoma na aliye elimika, elewa hilo muda wako wote uliopo hapa duniani!unbelievable this is coming form a Lawyer.....