Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elimu,Elimu,ElimuMimi naona ni maamuzi ya busara sana tena sana maana kuna watu hakuna jambo la msingi lakini linaoneshwa live hivyo pesa inatumika bure tuu!
Pia kuonesha bunge live kulikuwa kuna changia vurugu bungeni maana kuna watu wanaligeuza bunge kama sehemu ya kujipatia umaarufu na wengine wanaona ndio sehemu ya kufanyia uhuni!
Sioni sababu ya msingi ya kuonesha bunge live ikiwa kuna kipindi jioni cha bungeni leo!
Mimi napendekeza hata TV binafsi zipigwe marufuku kuonesha bunge live na wafate maelekezo ya TBC na wawe wanachukua kupitia TBC!
Najua hili ni pigo kwa UKAWA kwani wamezoea kufanya vurugu wakijua wanaonekana live.....
unbelievable this is coming form a Lawyer.....
Is he really a lawyer?
But, even if he is, who said lawyers were the smartest people?
Many of them are very pedestrian.
..siyo busara.
..bunge linapaswa kurushwa live, na baadaye kuwa na marudio.
nakubaliana na wewe
but nategemea kuna vitu vidogo sana
kama haki ya taarifa na free speech...kwa mtu yeyote yule mwenye ufahamu hata kidogo
kujua hata kama sio lawyer
Mzee,
Dhana nzima ya transparency kwenye hii nchi yetu ni jambo geni sana.
Na ndo maana unaona hata mishahara ya viongozi wetu wa umma haijulikani.
Na ukiuliza unaambiwa eti 'mshahara wa mtu ni siri yake na mwajiri wake'.
Sasa unabaki unajiuliza, hivi mwajiri wa hao watumishi/ viongozi wa umma ni nani hasa?
Hapo ndo unagundua kwamba kumbe matatizo ya uelewa wa watu walio wengi nchi ni makubwa kuliko pengine ulivyokuwa unadhania.
Naunga mkono kuzuia TBC kurusha matangazo live. Kwa aina ya wabunge waliopo mambo yao hayatakuwa tofauti sana na ile ya mipasho na matusi. Hivyo, wabunge waendee na mijadala yenye hoja kutokurushwa live kinawakaza nini kujadili hoja kama sio promo na kuuza nyago ndo inawasumbua?
Mimi naona ni maamuzi ya busara sana tena sana maana kuna watu hakuna jambo la msingi lakini linaoneshwa live hivyo pesa inatumika bure tuu!