TBC1 yasitisha kuonesha baadhi ya Mikutano ya Bunge moja kwa moja (Bunge LIVE)

Eti wanacngizia gharama, huu ni uongo mkubwa. Si waseme tu waz kuwa wnataka wawe wana hariri (edditing) baadhi ya hoja ziwe zinaondolewa!!!
 
Kweli tunaisoma namba,huu ni udikteta wa hali ya Juu..
kamanda wewe hufanyi kazi yoyote ?????? ukiamka asubuhi tu unakaa kuangalia bunge kutwa nzima? ? kama ni hivyo basi hutakaa uendelee. na kama si hivyo basi tuambie asilimia ngapi ya wanaobaki majumbani wanaangalia kwa wakati wote na ukilinganisha sasa na thamani au gharama ya hela TBC inayoingia. ???
ni wazo zuri sana hili Nape. hii itatufunza uwajibikaji na ufanyaji kazi bila kupoteza muda
 
Tulishasema Tanzania hakina Demokrasia na kujishau tu hamkutuelewa. Sasa mnaona CCM inakotupeleka?
kamanda nashauri utoe ushauri wa vyanzo vya mapato ambavyo vitaendelea kutufanya tutumie bilioni hizo kwa mwaka ili tu enjoy matangazo ya bunge.
 
Dunia ya leo magazeti wapi na wapi wewe, huko nchi zilizoendelea hayana soko mpaka yanagawiwa bure. We dont like hearsay, tunataka tuone live. Jamani mnaona nyie mnaoichagua ccm imeota mapembe ya sheitwani.
 
...naomba mnitoe tu humu JF. Ni upopoma mkubwa sana unafanywa na moderators mnahamisha comments za watu na kuzileta kwenye uzi tofauti...matokeo yake comments hizo zikisomwa kwenye huo uzi mwingine zinakuwa nje ya context husika. Kwa mfano hapa chini....

....leo umenichekesha sana aisee!!!

Penye ukakasi ni hapo kwenye "idol" nadhani urekebishe ulikuwa unamaanisha "idle".

But all in all watz kwa sasa wanapelekwapelekwa kama circus wakisubiri matukio mara tezi dume, mara Eritrea...and the list is long. Fanyeni kazi, tafuteni hobby kama anavyoshauri mdau hapo, kama ni kutazama bunge nenda dodoma kabisa! Ila hii tabia ya kuwa cry babies kutaka TV iwashwe mpate cha kuongea itatumaliza!

Waingereza walituharibu sana, tumekuwa wazungumzaji kuliko kuwa watendaji, jambo dogo linakuzwa kuwa kubwaaa...ndio maana EPL ina publicity kuubwa wakati hamna talent kiivyo ni hichi kihulka cha kuwa na uzungumzaji zaidi ya kuwekeza kwenye the actual work.


Comment hii ilikuwa pia inamrekebisha barbarosa kwa typo zake it was directed exactly to what Barbosa had written. Mnajifanya waelewa kumbe ndio mnaboronga zaidi wtf mbona thread zenye ujinga ujinga wa mapenzi hamziunganishi unganishi!!!!!!!
 
kama
Hii nayo kali aisee
Nmemsikiliza nkachoka
Tv ya Taifa inashindwa kurusha matangazo ya bunge kweli
Hapana aisee hii serikali yaanza nitia shaka
kamanda jitahidi ulipe kodi kwa bidii ili tuijengee uwezo TBC.
kwa nini media nyingine kama ITV, Clouds na wengine nao pia wasiweke live coverage
 
Ni Mara yangu ya kwanza kucomment humu jf,,ninashangazwa mno na uwezo wa kufikiri wa huyu Barbarosa,,!!jamani,,kwanini ujitoe ufahamu kwa kiwango cha juu namna hii??rudi katika fahamu zako tafadhali!!acha kutetea ujinga,,,,Unataka kupangia watu muda wa kufanya kazi??kwamba wote watizame bunge usiku ??acha mambo ya ajabu,,hatakama ni kupenda ccm sio kwa mahaba haya!!
 
Nilijua JP sio kiongozi sahihi,huu udikteta hatuutaki
 
Bila Tv nisingemjua Deo. Nisingeona anavyopendwa na wananchi wake. Bila tv nisingeona ziara za kushtukiza za Rais na mawaziri wake, bila tv nisingeona watu wanatumbuliwa majipu na kudhalilishwa hadharani, bila tv nisingemwona Nape escape 1 akipiga gitaa na kuimba. Hao wote ilikuwa sehemu ya kazi, wengine wanatafuta umaarufu. Nimekuelewa mkuu.
 
Je,Unadhani ni haki kwa serekali kukatiza matangazo ya moja kwa moja kwa shughuli za bunge?
Tutoe maoni yetu hapa serekali itayaona na kuyafanyia kazi.
Karibuni!
 
Mimi naona ni maamuzi ya busara sana tena sana maana kuna watu hakuna jambo la msingi lakini linaoneshwa live hivyo pesa inatumika bure tuu!
Pia kuonesha bunge live kulikuwa kuna changia vurugu bungeni maana kuna watu wanaligeuza bunge kama sehemu ya kujipatia umaarufu na wengine wanaona ndio sehemu ya kufanyia uhuni!

Sioni sababu ya msingi ya kuonesha bunge live ikiwa kuna kipindi jioni cha bungeni leo!

Mimi napendekeza hata TV binafsi zipigwe marufuku kuonesha bunge live na wafate maelekezo ya TBC na wawe wanachukua kupitia TBC!

Najua hili ni pigo kwa UKAWA kwani wamezoea kufanya vurugu wakijua wanaonekana live.....
 


unbelievable this is coming form a Lawyer.....
 
..siyo busara.

..bunge linapaswa kurushwa live, na baadaye kuwa na marudio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…