TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,563
Ni bahati nzuri kuwa hata wakati huu aliposhinda hukuchangia lolote ktk ushindi wake iwe kwa kura au lolote..ulikuwa unazungusha mikono upande uleeeeeee!!! Na bora ubakk huko maana bado umuhimu wako huku haujaonekana...Nina wasiwasi Magufuli anaweza kuwa rais wa kwanza Tanzania kuongoza kwa muhula mmoja tu,kwa kasi hii anayokwenda nayo ya kuirudisha nchi kwenye zama za ujima!hata mimi niliyefikiria kumpa kura yangu mwaka 2020 sasa nimeanza kuingiwa na mashaka naye,he might turn out to be the worst President ever,Kikwete will turn out to be the best one ever,time will tell.
Ok,wafanye hivyo ila watoe mbadala wake kwa kuruhusu vituo vinavyohitaji kuonesha LIVE vifanye hivyo bila mashrti yoyote.Wakati wenzetu wanaenda mbele sisi tunarudi nyuma,
DARASA LAKO LINAJULIKANA WALA HUJAKOSEAkitendo cha tbc kutooneshwa live kimenifurahisha sana.
lilikuwa ni jambo lililokuwa linanikera sana kutoa maneno ya hovyo na wajinga watazamaji wanalishangilia pasipokujua mbunge wao anawasaidia nini kwenye jimbo lao
Lisipooneshwa live sura hazionekani?hakuna nchi hapa duniani bunge linaoneshwa live kipindi chote.
hatutaka kuona sura zenu hapa tunataka maendeleo kwenye majimbo
hizi gharama TBC wameanza lini kuzilipia wenyewe.nakumbuka Anne Makinda aliwahi kuwa kemea TBC wakati Fulani kwamba wamelipwa pesa na serikali hivyo nikosa kutokurusha live kutoka bungeni .alikuwa akijibu hoja ya Mbowe bungeni.tena ni wakati ule upinzani wakidai wapinzani wakiongea TBC inakata matangazo.lakini sishangaii kwani Nape yuko hapo kuziba sehemu zote zilizo kuwa zinaiumeza ccm kupitia media .bila kusahau katibu muenezi Wa ccm ndio huyo huyo (waziri)katibu muenezi wataifakumbuka TBC wanapata ruzuku na inaendeshwa na kodi ya Watanzania.swali hizo galama zinatumika na zinaenda wapi? hapo kuna jipu na Nape usiwarudishe watanzania kwenye zama za kale.
swissme
Bajeti inatengwa lakini hakuna pesa inatolewa. Jenga tabia ya kusikiliza hoja kuliko kukimbilia kupost hapakumbuka TBC wanapata ruzuku na inaendeshwa na kodi ya Watanzania.swali hizo galama zinatumika na zinaenda wapi? hapo kuna jipu na Nape usiwarudishe watanzania kwenye zama za kale.
swissme
Sio jipu tuu.wanaiua kabisa TBC .Kwa maslahi ya ccm .kwangu Mimi ilikuwa na angali TBC wakati wa bunge tuu.kwa maana hiyo sasa sintaangalia tena.kama gazeti la uhuruNape + tbc ni jipu lililoivaaa sanaaa
Ni bora kufanya utafiti kidogo maana siku hizi ruzuku ni kama hazipo kabisa. Kwa sasa mashirika mengi ya umma yanatakiwa kujiendesha bila kutegemea ruzuku toka serikalini. Kwa hali kama hiyo TBC itabidi ibane matumizi hakuna jinsi. Maoni yangu ni kuwa Wabunge wapunguziwe marupurupu ili fedha hizo zigharamie suala hilikumbuka TBC wanapata ruzuku na inaendeshwa na kodi ya Watanzania.swali hizo galama zinatumika na zinaenda wapi? hapo kuna jipu na Nape usiwarudishe watanzania kwenye zama za kale.
swissme