mkonongo1938
JF-Expert Member
- Jan 22, 2016
- 1,990
- 2,398
Wananchi wale tu hata wanaofanya kazi na kulipa PAYE tunaweza kutolewa hata shilling Mmoja kulipia matangazo ya Bunge Hivi nape huwaga anamka toka usingizini ati wananchi tumeafiii mlitupa tupige kura ya maoni katika uamuzi huuu kwani Nape unaleta mzaha kwenya mambo ya msingi Rais JPM huyu ndio umeona anafaaaa kwenye wizara ya Habari au ndio mbinu mbadala wa kuuwa vyombo vya habari mbona mnakinzana saaana na hali ahalisi ya ulimwengu wenzenu Media ndio kitu muhimu kuwaelimisha wananchi nyie mnakifungia na kukipa mashariti ya ajabu saaana
Serikali inabana matumizi kama kuna chombo kinaweza kuonesha kioneshe...hatuwezi kupoteza billion 4 kuonesha live watu wanaosema rafiki zao wamechukuliwa chupi na shanga....mtoa mada huna hoja. cha msingi kama ulivyotangulia kusema ume confuse. kinachopiganiwa na wabunge wetu ni shirika la umma TBC kurusha LIVE vikao vyote vya bunge ili waajiri wa wabunge wajue nini kinafanywa na wabunge wao bungeni. hoja ya kusema kwamba star tv na Azam kurusha live haiondoi hoja ya msingi ya kuitaka TBC iende live. kwani tbc ni chombo kinachoendeshwa kwa kodi zetu. star tv na azam hawalazimiki kurusha mikutano ya bunge bali nimapenzi yao tu kwa taifa letu na watu wake.
hoja hii haiondoi umuhimu na ulazima wa tbc kurusha bunge live kamwe.watanzania tunataka uwazi. tbc ilikuwa inapata watazamaji wengi kipindi cha vikao vya bunge tu...Kwanza cha kushangaza ni lini wameanza kuwa na mahaba na TBC? Mimi nahitaji siku wapigane kuondoa sitting allowance!
Nilipomsikiliza Kubenea aliposema wabunge waupinzani walivuliwa chupi na shanga hapo ndio nilijiuliza ndiyo haya wanataka yawe live?
Kimsingi kipindi cha maswali na majibu ndicho kilicho takiwa kionekane live!
Hiyo bilioni nne ingeenda kuboresha upatikanaji wa matangazo ya TBC katika mikoa ya pembezoni badala ya kurusha porojo za shanga zinazotolewa na kina kubeneamtoa mada huna hoja. cha msingi kama ulivyotangulia kusema ume confuse. kinachopiganiwa na wabunge wetu ni shirika la umma TBC kurusha LIVE vikao vyote vya bunge ili waajiri wa wabunge wajue nini kinafanywa na wabunge wao bungeni. hoja ya kusema kwamba star tv na Azam kurusha live haiondoi hoja ya msingi ya kuitaka TBC iende live. kwani tbc ni chombo kinachoendeshwa kwa kodi zetu. star tv na azam hawalazimiki kurusha mikutano ya bunge bali nimapenzi yao tu kwa taifa letu na watu wake.
Sasa mbona unasema mtoa mada hana hoja na wakati umemjibu swali lakemtoa mada huna hoja. cha msingi kama ulivyotangulia kusema ume confuse. kinachopiganiwa na wabunge wetu ni shirika la umma TBC kurusha LIVE vikao vyote vya bunge ili waajiri wa wabunge wajue nini kinafanywa na wabunge wao bungeni. hoja ya kusema kwamba star tv na Azam kurusha live haiondoi hoja ya msingi ya kuitaka TBC iende live. kwani tbc ni chombo kinachoendeshwa kwa kodi zetu. star tv na azam hawalazimiki kurusha mikutano ya bunge bali nimapenzi yao tu kwa taifa letu na watu wake.
kwani kutaja shanga ni jambo la ajabu? tunapoteza pesa nyingi zaidi ya bilioni 4 kwa mambo ya hovyo...Hiyo bilioni nne ingeenda kuboresha upatikanaji wa matangazo ya TBC katika mikoa ya pembezoni badala ya kurusha porojo za shanga zinazotolewa na kina kubenea
kwani ningewezaje kuonyesha kwamba hana hoja bila kumjibu swali lake?Sasa mbona unasema mtoa mada hana hoja na wakati umemjibu swali lake
Umekosa wachangiaji wakati wewe umechangia?uzi umekosa wachangiajii
Naomba wote mnao jielewa tumpuuze huyu nyumbu kwa kuto reply chochotee.
Weka like kwangu kuunga mkono kauli hii.